Freema Agyeman JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 3,666 Reaction score 3,532 Aug 31, 2012 #21 Salosalo achana nao wakatisha tamaa. Njoo Dar uza uwezo wako kwenye shule kadhaa. Kama wewe ni mzuri utafanikiwa kwani walimu wa sayansi tena wazuri ni adimu. Kumbuka kuwa mafanikio si lazima yale kwa siku moja.
Salosalo achana nao wakatisha tamaa. Njoo Dar uza uwezo wako kwenye shule kadhaa. Kama wewe ni mzuri utafanikiwa kwani walimu wa sayansi tena wazuri ni adimu. Kumbuka kuwa mafanikio si lazima yale kwa siku moja.