Nahamia Nairobi

Nahamia Nairobi

Mimi nilidhani wewe ni condacta wa basi za falcon

alikuaga tingo wa hayo mabasi,hasa la yule dreva wanamwita mwakasha,akawa gari likipiga tripi ya mombasa anasafirishamo na viroba vya viungo hadi mtaji umekua.
 
Ulitoka falcon ya Mshomoroni? Mbona huku kuna waTZ wengi tena mabeste. yani jamaa wanaongea nikama wametiwa battery

mbona hata MK254 anaongea sana kama mzaramo,nina hakika nyie wakenya hamtamuelewa akianza kuongea kibongo
 
Last edited by a moderator:
Ulitoka falcon ya Mshomoroni? Mbona huku kuna waTZ wengi tena mabeste. yani jamaa wanaongea nikama wametiwa battery

mbona hata MK254 anaongea sana kama mzaramo,nina hakika nyie wakenya hamtamuelewa akianza kuongea kibongo,ndio ndugu nilianza kukaa falcon ya mshomoroni hapa kwenye kona kama unatoka kongowea,nilihamia kisauni,bakistani na sasa naketi nyali ya mwanzo kama unatokea kengeleni
 
Last edited by a moderator:
Mandugu wanna pekee hehehe madada zangu hautoshi mboga

mi nataka niwe shemeji yako nipe dada yako mmoja nikaish nae dar,apate upepo wa bahari.anizalie na mtoto halafu muwe mnakuja dar kutembea kwa shemeji yenu. niko serious sam999
 
Last edited by a moderator:
falcon mombasa Ukija uje umejipanga, maisha huku ni tofauti sana na Mombasa, yaani tunaendeshea kasi bila kusimama, vipi sikujua we ni single father, ila mrudishe bongo bintiye juu hapa akifika atakuwa anakoroga sheng' baada ya muda usiopungua mwaka, hata atashindwa kushika zile lahaja zenu.
 
hehehe mwanangu anazungumza english pekee,sipend kumzoesha mambo sheng atakuwa na muonekano wa kihuni.hehehehe nimeskia vijana wa nai mnavuta sana ganja
 
mbona hata MK254 anaongea sana kama mzaramo,nina hakika nyie wakenya hamtamuelewa akianza kuongea kibongo,ndio ndugu nilianza kukaa falcon ya mshomoroni hapa kwenye kona kama unatoka kongowea,nilihamia kisauni,bakistani na sasa naketi nyali ya mwanzo kama unatokea kengeleni
Wajua nilidhani ww ni kati ya hawa wabongo wanachoma kuku barabarani mshomoroni..kumbe uko mbelembele msela,wambie wenzako bongo waje Kenya huku wasee hawana bifu za mara ohhh wewe mbongo, ohhh wewe mrwanda kulalama ni uchape kazi ule..unanishangaza ukiwatishia Msa haipo salama ilihali wewe watembea ukila bata ufuoni
 
Last edited by a moderator:
hehehe mwanangu anazungumza english pekee,sipend kumzoesha mambo sheng atakuwa na muonekano wa kihuni.hehehehe nimeskia vijana wa nai mnavuta sana ganja
Wewe kweli ni mwanavituko yaani ilikuwaje ukamuingiza box mwarabu tena mwenye dini tofauti na hivi yuko wapi hata mwanawe akatokea kumkosa mamake.
 
Wajua nilidhani ww ni kati ya hawa wabongo wanachoma kuku barabarani mshomoroni..kumbe uko mbelembele msela,wambie wenzako bongo waje Kenya huku wasee hawana bifu za mara ohhh wewe mbongo, ohhh wewe mrwanda kulalama ni uchape kazi ule..unanishangaza ukiwatishia Msa haipo salama ilihali wewe watembea ukila bata ufuoni

mi ni kipenz cha mademu wa mombasa mkuu. lakin sasa nataka nipendwe na mademu wa nairobi.si unajua mi ndo kipenz cha walimbwende mwenye bahati ya mtende
 
Wewe kweli ni mwanavituko yaani ilikuwaje ukamuingiza box mwarabu tena mwenye dini tofauti na hivi yuko wapi hata mwanawe akatokea kumkosa mamake.

si unajua wanashobokaga na lafudhi zetu,halafu wao wanatuchukulia watz kama macelebrity flani ivi,ndo maana wako tayari wawapige vibuti vibuzi vyao waje kwetu tena wamenihonga sana,kipind flan nilikaa na mama mgunya ana kama miaka 49 nilimuahid kumuoa
 
Umeacha bahari na joto la mombasa umekuja fwata swimo za baridi za nai, anyway, watu wa nai hawajui kutumia viungo vya uswahilini, kwahivyo target yako kuu unafaa ulenge customers wa kutoka coast wanaoishi jiji. Nilishangaa juzi nimeletea watu nazi na madafu. Kitu cha kwanza walikua hawajui tofauti,
 
Hahaha ww falcon mombasa kuja nai upate uhondo.....Kama hauna pesa hautawai get laid hapa juu hehehe nakuonea huruma sana....... Hebu ambia huyo mtoto wako ajifunze sheng'

Hata umpeleke international skul atapata sheng' A bado hehe
 
Last edited by a moderator:
Karibu mji wa wajanja, mambo hapa huendeshwa kwa kasi na utaamuka tu.
Halafu uwe mpole na vijakazi wetu ambao unadai wanapendezwa sana na lahaja yako, maana hapa lazima uporomoshe Kingereza safi ndio umshushe binti mwenye hadhi. Kiswahili, labda ukitumie kuwababaisha wasaidizi wa nyumbani.
 
Back
Top Bottom