Nahamia Nairobi

Mm nairobi biashara all week weekend narudi nakuru kukaa na bibi story na kuishi nairobi hapana lakini wiki mzima niko doni - donholm nimehamia hapa mwezi machi

hapo donholm dada zetu wale wauzaji wanapatikana kirahisi?
 
Nairobi unaeza kaa kama watu matajiri zaidi duniani pia unaeza kaa kama watu maskini zaidi dunia. Wee sema una pesa ngapi tukuelekeze panapokufaa kulingana na pesa ulizo nazo.
 
Wewe na misifa ya ngono, mademu unapenda ila labda utakuta ni jamaa hoi ukipewa demu.
Utafiti ushabaini wanaume wale hupenda kuongea mambo ya ngono sana huwa na mapungufu kwenye hiyo taaluma na wanaongea ili kujifariji.

si unaona hata avatar yangu,mi sina uraibu mwingine zaidi ya mamanzi wasupa
 
Nairobi unaeza kaa kama watu matajiri zaidi duniani pia unaeza kaa kama watu maskini zaidi dunia. Wee sema una pesa ngapi tukuelekeze panapokufaa kulingana na pesa ulizo nazo.

mombasa nakaa appartment ya 10000ksh kwa mwezi,nafikir nikipata ya size hiyo itakuwa fiti sana
 
mombasa nakaa appartment ya 10000ksh kwa mwezi,nafikir nikipata ya size hiyo itakuwa fiti sana

That one can get you a one bedroom in Umoja,pipelineKayole,Kibera,Korogocho,muthurwa,shauri, kaloleni,huruma,makongeni,ziwani,mwiki or a bed sitter in buruburu, donholm,south B,kasarani,sokyimau etc
 
mombasa nakaa appartment ya 10000ksh kwa mwezi,nafikir nikipata ya size hiyo itakuwa fiti sana

10,000Kshs kwa mwezi is all you can afford kama rent hapo Mambasa, and all this talk.
Do you have a freaking idea how much I pay for rent hapa Kasarani.
Nyumba ya 10,000 labda utafutiwe ghetto ama babysitter. Hebu angalia hii picha uone mahali unaweza ishi na hiyo 10,000 kwa mfano hapa Kasarani.

mombasa nakaa appartment ya 10000ksh kwa mwezi,nafikir nikipata ya size hiyo itakuwa fiti sana

Hahaha!! Nairobi 10k hiyo ni bedsitter Umoja, Dandora, Githurai, Pipeline, Eastleigh, K-South, Makongeni, Jericho, Jerusalem, Makadara, Mwiki, Roysambu and such places. If it is true you actually lived like a celebrity in Mombasa in a 10K house then I'm sorry brother. In Nairobi with 10k you won't even manage to live like a celebrity's shamba boy and trust me you're going to have a hard time smashing a regular mtaa girl if you live in a 10k house in Nairobi. Try harder bro. A decent one bedroom house in Buru (the shittiest middle class in Nairobi) will leave you 25k poorer every month while in places like Langata and South C you need some 40k to get the cheapest one bedroom (Hell you won't get an SQ in Langata with 10k). In Kilimani/Hurlingham/Westlands/Loresho/Lavington/Kileleshwa/Mountainview/Woodley/Adams Arcade etc areas where the real Kenyan Upper middle class live you need at least 80k for an average apartment but if you really want to live like the celebrity you keep saying in Nairobi you should be man enough to produce over 400k a month to secure a place in the likes of Karen, Muthaiga, Jacaranda, Gigiri, Muthangari, Runda, Kitisuru, Ridgeways or some parts of Spring Valley and earn yourself a spot on the table of Kenya's big boys - the real money-splashing celebrities. Boss, bado una kibarua - you're nowhere close to a celebrity in Nairobi.
 
lol,trust me a Nairobi chick ain't spending a dime on you buddy.
 
Hivi jina Simiyu pia lapatikana kwa Wasukuma? Mie nilidhani ni letu Waluhya.

By the way NairobiWalker Wahaya, Wasukuma na Wanyambo have a lot in common with Luhyas. Even language, there are places you'll hear words such "Mirembe" "Omwana wanje" etc
 
Last edited by a moderator:
By the way NairobiWalker Wahaya, Wasukuma na Wanyambo have a lot in common with Luhyas. Even language, there are places you'll hear words such "Mirembe" "Omwana wanje" etc

Is Rose Muhando and her friend one of those? The name Muhando is also very popular among the Luhya and I once listened to a song they did in their mother tongue and it was 100% Luhya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…