Nahamia Nairobi

Unaelewa Kiluhya na Kisukuma?

bahati mbaya mimi sifahamu kuzungumza lugha za makabila,nimezaliwa dar nimesoma dar kila kitu dar,mama yangu alisoma dar tangu akiwa mdogo tena kasoma katikati ya jiji (zanaki) ,baba yangu ni mwenyeji wa dar tangu enzi hizo 1945.lakin mtu akizungumza kikikuyu najua,kiluhya,kisukuma,kichaga
 
Si ndio nyie watoto wa mjini msio na mila, asili wala jadi....kazi ni kuvaa milegezo na kushobokea Mondi.

Huwa nina bidii sana ya kuhakikisha wanangu pamoja na kwamba nawalelea mjni, lakini lazima wajue asili yao na kuongea lugha za babu zetu.
 
Ndugu yangu nchi zawatu sifa huziwezi kaka utatoboa mfuko bure Ukija Bongo uanze kutusumbua VIKOBA

mkuu hawa watu sumtime ni bora ukakomaa zaidi ya makadario yao kuwaonyesha jeuri la sivyo watazidi kulewa sifa
 
Si ndio nyie watoto wa mjini msio na mila, asili wala jadi....kazi ni kuvaa milegezo na kushobokea Mondi.

Huwa nina bidii sana ya kuhakikisha wanangu pamoja na kwamba nawalelea mjni, lakini lazima wajue asili yao na kuongea lugha za babu zetu.

hapana mkuu mi sio wale wanaovaa milegezo na kucheza viduku bali sioni sababu ya kwenda huko mikoani ikiwa kila kitu nakipata dar
 
Sasa unadhani wao ndivyo walivyo!! hapo wote usikute wapo nje ya Nairobi kelele tupu

Kwanza mimi ndio natamani sana kuishi nje ya Nairobi, nchi imeendelea kote na Wakenya wameanza kuenea mmoja mmoja. Sio kama nyie Waswahili mmejazana eneo moja.
 
Kwanza mimi ndio natamani sana kuishi nje ya Nairobi, nchi imeendelea kote na Wakenya wameanza kuenea mmoja mmoja. Sio kama nyie Waswahili mmejazana eneo moja.
Kwani tz wapi hakuja endelea?
 
Kwanza mimi ndio natamani sana kuishi nje ya Nairobi, nchi imeendelea kote na Wakenya wameanza kuenea mmoja mmoja. Sio kama nyie Waswahili mmejazana eneo moja.

MK254 hamia mombasa upate raha
 
Last edited by a moderator:

mkuu sheng mi nazungumza wala sina tatizo mi ni mpiganaji mungu atanisimamia kufika malengo
 
Hivi kuna lugha isiyo ya kabila? Wacha kunichekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…