CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Rock city peoplez nitawamiss sana i will miss home sweet home..........
mupenzi Slave kwa ajili yako nitafanya namna nihame nirudi nyumbani naamini Baba V atanisaidia kwa hili, shostito wa ukwee charminglady na Beiby Nasty nitawamiss mbaya, kabla sijaondoka naomba tuonane tafadhali, Nicas Mtei nitafurahi kukuona pia....!!!!
Wanajf wa Singida natarajia kuwa kuwa mgeni wenu wa kudumu kwa muda usiojulikana kuanzia ijumaa tarehe 8 march, naomba kuwa na mwenyeji mitaa hiyo,nitafurahi kuonana na kuwa na nyie!!!!
Weekend njema!!!
Ndio, Evely Salt utalala kwangu. I promise utafurahi sana siku ukifika singida. Hutopakumbuka tena mwanza
Utakuwa singida sehemu gani? ??Karibu sana.....!!!!!!
Jamani shost ndo nini ghafla???? Basi panga walau tukufanyia chipati chidogo mwe!!!!!!
Utakuwa singida sehemu gani? ??
Nipo mwanza kwa sasa. Uko wapi nikupitie? ?Iramba....!!!!!!!!
Nipo mwanza kwa sasa. Uko wapi nikupitie? ?
Usijali wala usiwe na hofu, mie roho yangu ni ya kijapan Evelyn Salt I promise utaishi vyema, kwa furaha na kila kitu ukitakacho utapata
nikipata mshahara tu....niagize hizo mboga.
safari zangu hadi nimfikie Jk!!!!!!!
Uanze kumtembeza kwa miguu km 20 !??
Poa poa so far are you confirm "utanchumia mboga?"
Uanze kumtembeza kwa miguu km 20 !??
.....afadhali, nilikuwa nahisi aibu kuuliza, nisije kukosa wa kunipokea!!!!!!!
.....mchicha, sukuma wiki, matembele unataka ipi??????
Nissan Navala ipo mama, siwezi kukutembeza mrembo umbali wote huo
Mi yeyote! Alimradi wanichumia !
Ameen baba.....!!!!!!
Shost hata sio gafla, safari ya kulitumikia taifa ndo imeanza!!!!!!
kabla sijaondoka tukae kamati asee, nitakumiss wewe
Karibu singida wakongwe tupo.