Nahamia Singida....!!!!

Nahamia Singida....!!!!

Rock city peoplez nitawamiss sana i will miss home sweet home..........

mupenzi Slave kwa ajili yako nitafanya namna nihame nirudi nyumbani naamini Baba V atanisaidia kwa hili, shostito wa ukwee charminglady na Beiby Nasty nitawamiss mbaya, kabla sijaondoka naomba tuonane tafadhali, Nicas Mtei nitafurahi kukuona pia....!!!!

Wanajf wa Singida natarajia kuwa kuwa mgeni wenu wa kudumu kwa muda usiojulikana kuanzia ijumaa tarehe 8 march, naomba kuwa na mwenyeji mitaa hiyo,nitafurahi kuonana na kuwa na nyie!!!!

Weekend njema!!!

Jamani shost ndo nini ghafla???? Basi panga walau tukufanyia chipati chidogo mwe!!!!!!
 
Jamani shost ndo nini ghafla???? Basi panga walau tukufanyia chipati chidogo mwe!!!!!!

Shost hata sio gafla, safari ya kulitumikia taifa ndo imeanza!!!!!!
kabla sijaondoka tukae kamati asee, nitakumiss wewe
 
Back
Top Bottom