Ahante lawyer kumbe upo pande hizo???
nadhani we ndo utakuwa jirani angu....!!!!!!
Hapana sipo singinda hila ntakutembelea huko!
Hivi kwenye hile tume haupo?
Sio utani uko wapi nijehuwezi kuja mwanza bila kunitafuta unanidanganya.....
Sio utani uko wapi nije
Halafu wewe ohooo nakucheki tu!!!!!!!!
ha ha ha unamaanisha hii tume????????
Unadhani lini utatembelea huku kusini mwa Africa -Pretoria , nikuagizie mboga! Coz nimezimiss sana mboga za nyumbani !
Hahahahahahahahahha
yaaah! Daa maskin huyo ng'ombe ana hali mbaya sana!
Mie niko manyoni. Ukiwa na hamu na kuku wa kienyeji chukuchuku unisake. Sharti ni moja, uje na shemeji yangu. Usije ukamtolea macho Paw wangu buree
ndo maana hatoi maziwa teh!!!!!!
Mie niko manyoni. Ukiwa na hamu na kuku wa kienyeji chukuchuku unisake. Sharti ni moja, uje na shemeji yangu. Usije ukamtolea macho Paw wangu buree
....kwa sahivi mi sina nitakuja mwenyewe tu labda hadi hapo baadae nikipata mnyaturu/mnyiramba mmoja.
na nakuahidi sitamtolea macho shemeji!!!!!!!
Nasikia baada ya kuambiwa asiye taka aache kazi, walicho fanya matecher waliacha kazi wakabaki na ajira!
mmmh! Basi kuna katibu tarafa hapa ukija nitakuintrodyuzi. Uje jumamosi manake baiskeli za kurudi mjini taabu, utalala kwa huyo katibu tarafa.
ha ha ha mtu mkubwa sana huyu, jumamosi nitakuwa hapo asee!!!
hehehe, karibu. Aisee unahitaji right connections, and im your best options. Hapa ukibahatisha sana zaidi ya katibu tarafa labda upate dereva wa hospitali.
Nakungojea mamii.
Nami nitafurah sana kukutia machoni.. Nami ntakuwa jirani yako[Dom] kuanzia mwez july.. Ntakutafuta leo jioni