Nahamia Singida....!!!!

Nahamia Singida....!!!!

karibu sana shoga angu nimefurahi sana hadi nalia,nasikiaga dar wing,arusha wing sijui nini wing lakin singida wing no sikia kwa kweli kwa ujio wako naona utakuwa wa kheri nasi tutatokelezea kwenye front page ya cc ka hivi ;

wera, wera,weraaaa!! ujio wa Evelyn Salt na uzinduzi wa singida wing watajibeba..............,

Dah . . . . imebaki Sitimbi wing tu jameni!!!
 
shoga nipo Dom sahivi, alhamisi naenda singida ijumaa au jmosi nitakuwa mwanza!!!!!
kwahiyo weekend tutakuwa wote ma dia.

Hapo poa.. mwake mbona.... mpaka jogoo akate rufaa ... jiandae kuswim, pia usisahau nguo za kuogelea weekend ijayo.... Teh!!!"
 
Dah Kumbe ulikuwa Mwanza na unaondoka sijakucheki
all the best shostito...Kuna Bibi yangu kule Singida New Kiomboi utamsalimia
 
Dah Kumbe ulikuwa Mwanza na unaondoka sijakucheki
all the best shostito...Kuna Bibi yangu kule Singida New Kiomboi utamsalimia

sijaondoka rasmi ijumaa ntakuwa mwanza....nitafurahi kukuona!!!!
salamu za bibi zimefika....
 
Back
Top Bottom