Nahamia Singida....!!!!

Nahamia Singida....!!!!

Fikia kwangu basi mh!
Rock city peoplez nitawamiss sana i will miss home sweet home..........

mupenzi Slave kwa ajili yako nitafanya namna nihame nirudi nyumbani naamini Baba V atanisaidia kwa hili, shostito wa ukwee charminglady na Beiby Nasty nitawamiss mbaya, kabla sijaondoka naomba tuonane tafadhali, Nicas Mtei nitafurahi kukuona pia....!!!!

Wanajf wa Singida natarajia kuwa kuwa mgeni wenu wa kudumu kwa muda usiojulikana kuanzia ijumaa tarehe 8 march, naomba kuwa na mwenyeji mitaa hiyo,nitafurahi kuonana na kuwa na nyie!!!!

Weekend njema!!!
 
[[/MENTION] Evelyn Salt karibu kiyomboi!hongera sana mwl!
 
Last edited by a moderator:
Unadhani lini utatembelea huku kusini mwa Africa -Pretoria , nikuagizie mboga! Coz nimezimiss sana mboga za nyumbani !
 
Unadhani lini utatembelea huku kusini mwa Africa -Pretoria , nikuagizie mboga! Coz nimezimiss sana mboga za nyumbani !

nikipata mshahara tu....niagize hizo mboga.
safari zangu hadi nimfikie Jk!!!!!!!
 
Back
Top Bottom