Naheshimu Kanisa Katoliki, kwao haiwezekani aliyefeli darasani kuwa Padre!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Nazungumzia Kanisa Katoliki wala silinganishi na Imani nyingine. Kwamba ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki huwezi kuwa mzito darasani kisha ukawa Padre, kupata zero darasani kisha ukawa padre & kuhubiri yaliyo nje ya mfumo wa kanisa.

Nasema tena siku zote nitaliheshimu Kanisa Katoliki Kwa mfumo bora kabisa kuandaa watenda kazi!

Elimu ya sekula + elimu ya dini + weledi.

Muwe na siku njema.

====

Pia soma:

-
Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
- Tovuti Rasmi ya Dayosisi ya Bukoba inathibitisha kwamba Elipidius Rwegoshora ni Padre wao
 
Mbona hata misikitini Hilo lipo.
Hakuna Imam wala Shekh aliyefeli darasani Wala madrasa!
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nazungumzia Kanisa Katoliki wala silinganishi na Imani nyingine. Kwamba ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki huwezi kuwa mzito darasani kisha ukawa Padre, kupata zero darasani kisha ukawa padre & kuhubiri yaliyo nje ya mfumo wa kanisa.

Nasema tena siku zote nitaliheshimu Kanisa Katoliki Kwa mfumo bora kabisa kuandaa watenda kazi!

Elimu ya sekula + elimu ya dini + weledi.

Muwe na siku njema.

====

Pia soma:

-
Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
- Tovuti Rasmi ya Dayosisi ya Bukoba inathibitisha kwamba Elipidius Rwegoshora ni Padre wao
Hekimaya wenye hekima ataifanya MAVI, roho Mtakatifu ndio kila kitu, ni mwalimu wa walimu, elimu ya dunia has nothing to do with knowing God!
Maprofesa wanakutwa wa waganga wa kienyeji!
Wanasiasa wanatoa kafara, wanaua albino huko afrika magharibi ili kushinda chaguzi.
Yesu mwenyewe alichagua wanafunzi wake na mmoja tu ndio alikuwa wakili,
  1. Petro na Andrea: Walikuwa ndugu na wavuvi kutoka Bethsaida na baadaye waliishi Kapernaumu.
  2. Yakobo na Yohana: Walikuwa ndugu wengine na wavuvi, pia kutoka Kapernaumu.
  3. Mathayo: Alikuwa mtoza ushuru, kazi ambayo haikuwa inapendwa na Wayahudi wengi kwa sababu ilihusisha kushirikiana na Warumi.
  4. Simoni Zelote: Inawezekana alikuwa mfuasi wa kikundi cha wapinzani wa Warumi kinachoitwa Zelote.
Ingawa baadhi ya mitume kama Paulo alikuwa na elimu ya juu katika sheria za Kiyahudi na alifundishwa na mwalimu maarufu Gamalieli, mitume wa awali wa Yesu wengi wao walikuwa watu wa kawaida bila elimu rasmi ya kidini au kisomi. Yesu aliwachagua watu wa kawaida ili kuonyesha kwamba ujumbe wake ulikuwa kwa kila mtu, sio tu kwa wasomi au watu wa tabaka la juu.
 
TUpe wasifu wasifu wa huyu padre tafadhali
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nazungumzia Kanisa Katoliki wala silinganishi na Imani nyingine. Kwamba ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki huwezi kuwa mzito darasani kisha ukawa Padre, kupata zero darasani kisha ukawa padre & kuhubiri yaliyo nje ya mfumo wa kanisa.

Nasema tena siku zote nitaliheshimu Kanisa Katoliki Kwa mfumo bora kabisa kuandaa watenda kazi!

Elimu ya sekula + elimu ya dini + weledi.

Muwe na siku njema.

====

Pia soma:

-
Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
- Tovuti Rasmi ya Dayosisi ya Bukoba inathibitisha kwamba Elipidius Rwegoshora ni Padre wao
Mtume haipendi na haitaki elimu dunia, madrasa inatosha.
 
Back
Top Bottom