Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
sawa ila hapa anaongelea katolikiMbona hata misikitini Hilo lipo.
Hakuna Imam wala Shekh aliyefeli darasani Wala madrasa!
Hekimaya wenye hekima ataifanya MAVI, roho Mtakatifu ndio kila kitu, ni mwalimu wa walimu, elimu ya dunia has nothing to do with knowing God!Wadau hamjamboni nyote?
Nazungumzia Kanisa Katoliki wala silinganishi na Imani nyingine. Kwamba ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki huwezi kuwa mzito darasani kisha ukawa Padre, kupata zero darasani kisha ukawa padre & kuhubiri yaliyo nje ya mfumo wa kanisa.
Nasema tena siku zote nitaliheshimu Kanisa Katoliki Kwa mfumo bora kabisa kuandaa watenda kazi!
Elimu ya sekula + elimu ya dini + weledi.
Muwe na siku njema.
====
Pia soma:
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
- Tovuti Rasmi ya Dayosisi ya Bukoba inathibitisha kwamba Elipidius Rwegoshora ni Padre wao
Mtume haipendi na haitaki elimu dunia, madrasa inatosha.Wadau hamjamboni nyote?