Uchaguzi 2020 Naheshimu mchango wa Tundu Lissu ila ni hatari sana watu kama yeye kuwa Rais

Lissumsaliti mla rushwa ni tofauti sana na hao ulio wataja!
Lissumsaliti alikula pesa nyingi sana za mafisadi na huo ndio ukweli na dunia inajua walahi
Acha Mama Tanzania arndelee kumthibiti kila iitwapo leo walahi
Enough!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bioi na jpm mbina naye amezuia mitumba
Alikuwa na msimamo mkali dhidi ya nani? Na wakati gani?! Nazungumzia kabla ya ukiwa hivi ukipata Rungu itakuwaje. Lazma hotuba za Lissu na Matamko ziilishe msamaha na kutokua na hata chembe ya visasi
 
Mleta mada hujui ulichoandika isipokuwa umenusa kuna mkuu wa wilaya au Mkoa atatumbuliwa umeona umfurahishe mtumbuaji kwa kumpa ahuweni na pumziko la moyo kwa kumpunguzia TL sifa za kuwa rais! Ungekuwa na uwezo wa kufuatilia nukuu zote za Martin Luther basi usingele hili YAI VIZA hapa.
 
Historia haikuwekwa wazi, kitu ambacho Nyerere alitahadharisha watu wenye misimamo mikali hawafai kuwa viongozi. Hata moja ya sababu ya kumchagua Mwinyi kumrithi ni busara na unyenyekevu wake.

Wanamageuzi hawawezi kunielewa kirahisi ila leo nakuja na mifano rahisi labda sababu wote humu sio wanahistoria.

1. DR Congo ilipofikia ni matokeo ya Waziri Mkuu na mwanaharakati aliyekubalika sana Kongo na wakongo wengi sababu walikuwa mbumbumbu.

Lumumba alitumia nguvu na kejeli, siku ya uhuru alitoa hotuba iliyotoa uhai wake, hakuangalia nguvu za mbeligiji na zake, alijaribu kuzima wakivu waliotaka kujitenga kwa mabavu. Walimsifu kwa hotuba iliyojaa hasira na kisasii lakini haikuwa na uhalisia.

2. Idd Amini Dada aliingia kwa mapinduzi yaliyopokelewa kwa shangwe na Waganda wengi, ila kutokuwa na simile, kumtukana kiongozi wa Afrika Kusini wa baguzi hadharani kwenye mkutano wa OAU Addis Ababa Ethiopia, Kugombana na Israeli na alitumia nguvu kubwa na kupambana na rushwa na uhalifu, hali iliyosababisha kuua hata wasio na hatia na kukosana na wahisani wake kulifanya kuyumba uchumi na kuchukiwa na kila mtu.

3. Tomasi Sankara. Anachukuliwa na mbumbumbu wengi kama mwanamapinduzi mzalendo. Ila wasomi na wataalamu wa uongozi walimchukulia mshenzi na mtu asiyejua lolote. Walituhumu kwa kuruhusu mahakama za watu. Yani jamii tena isiyo na elimu yoyote ya sheria inaweza kutoa hukumu dhidi ya wahalifu. Alizuia kuingia mitumba kwenye taifa masikini ambalo raia hawana uwezo wa kununua nguo. Ndiye aliyesema huwezi kuongoza taifa bila kujifanya kichaa.

Aliuza magari ya serikali akaanza kutembelea baiskeli. Aliuawa kizembe tu na rafiki yake wa karibu. Kweli raisi uzungukie taifa kwa baiskeli?

Wako wengi wanaharakati, akina savimbi, Samora Machel, Adolf Hitler. Hawa ni watu wasiochagua kauli ya kukosoa, wanaotafuta kauli ngumu dhidi ya wapinzani wao.

Watu hao hawapaswi kuwa viongozi wa juu labda watendaji tu ndani ya serikali inayoongozwa na mtu mwenye busara.

Tundu hana la kujifunza kutoka kwa Martin Luther King au Mandela, Walipigania haki kwenye mataifa yaliyoua waziwazi wanaharakati. Kufunga na kuonea watu weusi, ila harakati zao zilikuwa za kupigania usawa na haki na si uongozi, Harakati za Lissu na Chadema nyingi ni za kupigania uongozi. Namnukuu Jemsi Mapalala aliyejikita kupigania wattu.

Mfano lissu alitetea bunge kupitisha sheria ya mafao wakati wabunge wangeweza vizuri tu kulazimisha kikokotoo kuingia kwenye sheria ila hawakufanya hivyo

Tuangalie nukuuu za mandela mwaka 1964 kwenye kesi yake ya uhaini.
Nimekuwa nikipigana dhidi ya utawala unaopendea makaburu, pia nimekuwa nikipinga utawala utakaowapendelea waafrika, nakama hili ni kosa nipo tayari kuuawa.

"Binadamu hazaliwi na chuk bali hufundishwa kuchukia Kama wanaweza kujifunza kuchukia, basi
wanaweza kufundishwa kupenda, kwa
sababu kwa kawaida ni asili yake"
upendo kuja kwa moyo wa mwanadamu
kuliko kinyume chake"

Martini Luther alinukuliwa kwenye nukuu zilizotaka usawa, kama hotuba ya ninandoto. Ndoto ya mwanae kuja kupata fulsa kwa matendo na uwezo wao na si rangi zao.

Pamoja na kupambana dhidi ya tawala katili lakini watu hawa hawakuwahi kutoa nukuu za kuwatolea makali Makaburu au viongozi wa marekani, kusema wazi kuwa lazma waondoke. Ukweli na harakati za kupigania haki zilifanya kuwa maarufu sana na kupendwa na wazungu au ccm kama chadema wanavyowaona.
Tundu hana spich za kuunganisha bali kujenga chuki tu. Hana maono ya uongozi ya kutokuchukia, anaonesha chuki za wazi zidi ya ccm badala ya kuwaita ndugu zetu kutoka ccm ambao kimsigi ni watanzania wenzetu tunaotofautiana mitazamo yeye uwachukulia maadui na huwaita kwa kejeri " maccm"
Kwa maono hayo usitegemee watu hao watukuacha uchukue nchi ili baadae uwaadhibu

Pitia harakati za kiongozi wa upinzani Masood Abiora wa Nigeria mitazamo mikali dhidi ya utwala ulimnyima nchi.
Najua nchi za magaribi haziwezi kukaa nyuma yake
Katika ulimwengu wa leo hutakiwi kutengeneza maadui,anayeanza kutengeneza maadau ujue lazima watakurudi. Nashauri serikali aache kutumia ubabe juu ya watu wake hata kama wamekosea au kuonenewa lazima maridhiano yapewe kipaombele. Umoja wa kitaifa hujengwi kwa kujiona mmbabe au una nguvu, tena aliye madarakani anatakiwa kuwa mpole zaidi ili kuunganisha familia.

Principle ni ileile ukiwachukia watoto wako adui atawatumia kukumaliza. Mfano mzuri angalia anachofanya Uhuru Kenyetta kwa wapinzani wake. Hiki kinachofanyika sasa gharama yake ni kubwa mnoo, we safe in the eyes but not in the heart.
 
Unachisema ni kweli, watu kama Lisu ni vyema wakawa chini ya watu Fulani wenye busara, ni watendaji wazuri na wafuatiliaji wazuri lakini kuwaweka juu ya sheria ni hatari, jambo hili nafikiri haya CCM wanalifikiria kwa sasa maana ndio hivyo tena. Urais unahitaji watu aina ya Mashinji, Hussein Mwinyi, Makamba J nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi, hakuna mtu atakuelewa hapa kwa sasa......

Siku atakapopata mamlaka nakuanza kuvurunda ndipo wataanza jionea udhaifu ambao mimi na wewe tumeshauhisi mapema.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue ya Tundu Lissu inawafikia wengi pabaya... watu wanaanza kutafutana...

Ngoja tuone...

Cc: mahondaw
 
Leo namzungumzia Tundu Lissu. Natamani ajifunze kujenga hoja kama Nelsoni Mandela au Martin Ruther. Zile kauli za maccm, na Lugha kali kwenye nyaraka zake zimenifanya nimuone mwanaharakati zaidi kama mwanamapinduzi John Okelo aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar ila busara za KARUME kujishusha akachukua nchi
Huwezi kueleweka. Mtu kama Lissu angeongoza mapambano wa uhuru tusingeupata! Ni mwanasheria mzuri tu labda tuishie huko lakini si siasa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika ulimwengu wa leo hutakiwi kutengeneza maadui,anayeanza kutengeneza maadau ujue lazima watakurudi. Nashauri serikali aache kutumia ubabe juu ya watu wake hata kama wamekosea au kuonenewa lazima maridhiano yapewe kipaombele. Umoja wa kitaifa hujengwi kwa kujiona mmbabe au una nguvu, tena aliye madarakani anatakiwa kuwa mpole zaidi ili kuunganisha familia.

Principle ni ileile ukiwachukia watoto wako adui atawatumia kukumaliza. Mfano mzuri angalia anachofanya Uhuru Kenyetta kwa wapinzani wake. Hiki kinachofanyika sasa gharama yake ni kubwa mnoo, we safe in the eyes but not in the heart.

Historia ya Amini inafunzo kubwa sana ila Ubaya Tanzania tulimwangalia kwa jicho moja tu. Alikuta nchi imefirisika, Akaanza kujenga uchumi chini ya Mabepari.
Lissu sawa na watu wasio na elimu kabisa hatoi suluhu ya matatizo wala hazungumzii wala kutafiti matatizo ya watu. Huwa ni kipaza sauti cha mambo yanayotrend. Pia wamejikita kupigania uhuru wao kama wanasiasa. Hajui haja ya wafanyakazi kwa sasa. Hajui matatizo ya wakulima yatokanayo na sera. Hajui mfumo mzima wa utolewaji elimu. Hana watu wanaomsaidia kulijua taifa. Vip huyu eti aje kuwa Raisi.
 
Naheshimu mchango wa Tundu Lissu ila ni hatari sana watu kama yeye kuwa Rais
TNone E

Prev
Next
UNWATCH
•••
Sengobad
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#21
Capt Tamar said:
Ruther ndiye Luther? Kama ndiye basi hukuwahi kumfahamu katu! Kama angekuwa na lugha soft kwa hao mabeberu labda hadi leo ungekuta anaishi! Ila huyo alikuwa extreme kweli kweli!mara mia ya akina Lissu,na ndiyo maana aliwekwa kwenye death row! Na akauliwa kama tu walivyotaka kumuua Lissu! Anza kusoma historia upya na ufanyie marekebisho bandiko lako!
Huyu jamaa kapewa kibarua cha kuja kuchafua watu mtandaoni ila kwa bahati mbaya uwezo wake wa kujua mambo huko chini.

LikeQuoteReply
Report
LTGMT, gemmanuel265 and Capt Tamar
Chaliifrancisco
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#22
Hii ni Satire au Irony? Wataalamu wa lugha nisaidieni.

LikeQuoteReply
Report
Lgemmanuel265
Frank Wanjiru
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#23
stroke said:
Huo uzalendo wa Lisu unatokana na jambo gani?
Kununua Ndege

Sent using Jamii Forums mobile app

LikeQuoteReply
Report
Lgemmanuel265 and Capt Tamar
DOUGLAS SALLU
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#24
GEBA2013 said:
Hayo unayasema mbona hayafanani na lisu mbona km kuna mtu unamlenga
Na mwenyewe keshamstukia ngoja aje kibox afanye yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

LikeQuoteReply
Report
DOUGLAS SALLU
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#25
William Mshumbusi said:
Leo namzungumzia Tundu Lissu. Natamani ajifunze kujenga hoja kama Nelsoni Mandela au Martin Ruther. Zile kauli za maccm, na Lugha kali kwenye nyaraka zake zimenifanya nimuone mwanaharakati zaidi kama mwanamapinduzi John Okelo aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar ila busara za KARUME kujishusha akachukua nchi
Wewe unamlenga mkulu na ameshakusoma sasa jiandae.

Sent using Jamii Forums mobile app

LikeQuoteReply
Report
Los Técnicos
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#26
William Mshumbusi said:
Historia haikuwekwa wazi, kitu ambacho Nyerere alitahadharisha watu wenye misimamo mikali hawafai kuwa viongozi. Hata moja ya sababu ya kumchagua Mwinyi kumrithi ni busara na unyenyekevu wake.

Wanamageuzi hawawezi kunielewa kirahisi ila leo nakuja na mifano rahisi labda sababu wote humu sio wanahistoria.

1. DR Congo ilipofikia ni matokeo ya Waziri Mkuu na mwanaharakati aliyekubalika sana Kongo na wakongo wengi sababu walikuwa mbumbumbu.

Lumumba alitumia nguvu na kejeli, siku ya uhuru alitoa hotuba iliyotoa uhai wake, hakuangalia nguvu za mbeligiji na zake, alijaribu kuzima wakivu waliotaka kujitenga kwa mabavu. Walimsifu kwa hotuba iliyojaa hasira na kisasii lakini haikuwa na uhalisia.

2. Idd Amini Dada aliingia kwa mapinduzi yaliyopokelewa kwa shangwe na Waganda wengi, ila kutokuwa na simile, kumtukana kiongozi wa Afrika Kusini wa baguzi hadharani kwenye mkutano wa OAU Addis Ababa Ethiopia, Kugombana na Israeli na alitumia nguvu kubwa na kupambana na rushwa na uhalifu, hali iliyosababisha kuua hata wasio na hatia na kukosana na wahisani wake kulifanya kuyumba uchumi na kuchukiwa na kila mtu.

3. Tomasi Sankara. Anachukuliwa na mbumbumbu wengi kama mwanamapinduzi mzalendo. Ila wasomi na wataalamu wa uongozi walimchukulia mshenzi na mtu asiyejua lolote. Walituhumu kwa kuruhusu mahakama za watu. Yani jamii tena isiyo na elimu yoyote ya sheria inaweza kutoa hukumu dhidi ya wahalifu. Alizuia kuingia mitumba kwenye taifa masikini ambalo raia hawana uwezo wa kununua nguo. Ndiye aliyesema huwezi kuongoza taifa bila kujifanya kichaa.

Aliuza magari ya serikali akaanza kutembelea baiskeli. Aliuawa kizembe tu na rafiki yake wa karibu. Kweli raisi uzungukie taifa kwa baiskeli?

Wako wengi wanaharakati, akina savimbi, Samora Machel, Adolf Hitler. Hawa ni watu wasiochagua kauli ya kukosoa, wanaotafuta kauli ngumu dhidi ya wapinzani wao.

Watu hao hawapaswi kuwa viongozi wa juu labda watendaji tu ndani ya serikali inayoongozwa na mtu mwenye busara.
Click to expand...
Katika historia yako nawaona viongozi wa kijeshi au waliotokea jeshini. Kweli sikupingi wanaotokea jeshini kwa ushawishi wa ubabe wa kivita ni hatari.
Hebu weka mifano ya wale wasio wa kijeshi wa caliber ya lisu

Sent using Jamii Forums mobile app

LikeQuoteReply
Report
Los Técnicos
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#27
Na ni nani mwenye msimamo mkali kati ya lisu na Magufuli ndugu mwandishi?

Sent using Jamii Forums mobile app

LikeQuoteReply
Report
Los Técnicos
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#28
Kitu kingine labda nikuulize,
Utata wa lisu na misimamo yake kwa uelewa wako hasa unadhani uko nyuma ya nini hasa?
Binafsi, mimi naona huyo lisu hatishi kama muhasi, hana jeshi, ni dhahiri elimu na umahili wake wa sheria ndio shida kwako.
Kitu ambacho kikatiba sio tatizo, kisheria kuwa critics sio shida, shida ni kwa wale wasiopenda sheria isiwe msumeno ndio wana shida naye.
Huyu mtu ukatae usikatae lazima aingie kwenye historia katika kama
1. muasisi wa kuvunja imani potofu kuwa viongozi hawahojiwi wala kusemwa wanapokosea and he was ready for the consequences and he is always ready.
2. Watamsoma pia katika sheria kama huko mbeleni na ameitendea haki taaluma yake. Sheria haiogopi na mwanasheria yeyote anayeogapa kuifanya sheria itende hana tofauti na vibaka tofauti tu ni huyo kakaba katika fani, ni waporaji haki hao

Sent using Jamii Forums mobile app

LikeQuoteReply
Report
Komeo Lachuma
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#29
We ndo shemeji yake dr slaa?kwa mkewe josephine mshumbusi? Unakula kuku tu kwa shemeji yako.safi sana.

LikeQuoteReply
Report
C
Chabusalu
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#30
stroke said:
Huo uzalendo wa Lisu unatokana na jambo gani?
Unatokana na namna alivyopambana kulinda maliasili yetu

LikeQuoteReply
Report
William Mshumbusi
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#31
sengobad said:
Kwahiyo unataka kusema rais wetu hana msimamo mkali ? nyerere hakuwa na msimamo mkali? jipange upya!
Nazungumzia upinzani makini, nipo kuangalia upinzani unaotakiwa dhidi ya serikali iliyopo, hapa nimekusudia kumkosoa harakati za tundu hata kama hata kama tyungekuwa utumwani

QuoteReply
ReportEditDelete
Mkiliman
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#32
William Mshumbusi said:
Historia haikuwekwa wazi, kitu ambacho Nyerere alitahadharisha watu wenye misimamo mikali hawafai kuwa viongozi. Hata moja ya sababu ya kumchagua Mwinyi kumrithi ni busara na unyenyekevu wake.

Wanamageuzi hawawezi kunielewa kirahisi ila leo nakuja na mifano rahisi labda sababu wote humu sio wanahistoria.

1. DR Congo ilipofikia ni matokeo ya Waziri Mkuu na mwanaharakati aliyekubalika sana Kongo na wakongo wengi sababu walikuwa mbumbumbu.

Lumumba alitumia nguvu na kejeli, siku ya uhuru alitoa hotuba iliyotoa uhai wake, hakuangalia nguvu za mbeligiji na zake, alijaribu kuzima wakivu waliotaka kujitenga kwa mabavu. Walimsifu kwa hotuba iliyojaa hasira na kisasii lakini haikuwa na uhalisia.

2. Idd Amini Dada aliingia kwa mapinduzi yaliyopokelewa kwa shangwe na Waganda wengi, ila kutokuwa na simile, kumtukana kiongozi wa Afrika Kusini wa baguzi hadharani kwenye mkutano wa OAU Addis Ababa Ethiopia, Kugombana na Israeli na alitumia nguvu kubwa na kupambana na rushwa na uhalifu, hali iliyosababisha kuua hata wasio na hatia na kukosana na wahisani wake kulifanya kuyumba uchumi na kuchukiwa na kila mtu.

3. Tomasi Sankara. Anachukuliwa na mbumbumbu wengi kama mwanamapinduzi mzalendo. Ila wasomi na wataalamu wa uongozi walimchukulia mshenzi na mtu asiyejua lolote. Walituhumu kwa kuruhusu mahakama za watu. Yani jamii tena isiyo na elimu yoyote ya sheria inaweza kutoa hukumu dhidi ya wahalifu. Alizuia kuingia mitumba kwenye taifa masikini ambalo raia hawana uwezo wa kununua nguo. Ndiye aliyesema huwezi kuongoza taifa bila kujifanya kichaa.

Aliuza magari ya serikali akaanza kutembelea baiskeli. Aliuawa kizembe tu na rafiki yake wa karibu. Kweli raisi uzungukie taifa kwa baiskeli?

Wako wengi wanaharakati, akina savimbi, Samora Machel, Adolf Hitler. Hawa ni watu wasiochagua kauli ya kukosoa, wanaotafuta kauli ngumu dhidi ya wapinzani wao.

Watu hao hawapaswi kuwa viongozi wa juu labda watendaji tu ndani ya serikali inayoongozwa na mtu mwenye busara.

Tundu hana la kujifunza kutoka kwa Martin Luther King au Mandela, Walipigania haki kwenye mataifa yaliyoua waziwazi wanaharakati. Kufunga na kuonea watu weusi, ila harakati zao zilikuwa za kupigania usawa na haki na si uongozi, Harakati za Lissu na Chadema nyingi ni za kupigania uongozi. Namnukuu Jemsi Mapalala aliyejikita kupigania wattu.

Mfano lissu alitetea bunge kupitisha sheria ya mafao wakati wabunge wangeweza vizuri tu kulazimisha kikokotoo kuingia kwenye sheria ila hawakufanya hivyo

Tuangalie nukuuu za mandela mwaka 1964 kwenye kesi yake ya uhaini.
Nimekuwa nikipigana dhidi ya utawala unaopendea makaburu, pia nimekuwa nikipinga utawala utakaowapendelea waafrika, nakama hili ni kosa nipo tayari kuuawa.
"Binadamu hazaliwi na chuk bali hufundishwa kuchukia Kama wanaweza kujifunza kuchukia, basi
wanaweza kufundishwa kupenda, kwa
sababu kwa kawaida ni asili yake"
upendo kuja kwa moyo wa mwanadamu
kuliko kinyume chake"

Martini Luther alinukuliwa kwenye nukuu zilizotaka usawa, kama hotuba ya ninandoto. Ndoto ya mwanae kuja kupata fulsa kwa matendo na uwezo wao na si rangi zao.

Pamoja na kupambana dhidi ya tawala katili lakini watu hawa hawakuwahi kutoa nukuu za kuwatolea makali Makaburu au viongozi wa marekani, kusema wazi kuwa lazma waondoke. Ukweli na harakati za kupigania haki zilifanya kuwa maarufu sana na kupendwa na wazungu au ccm kama chadema wanavyowaona.
Tundu hana spich za kuunganisha bali kujenga chuki tu. Hana maono ya uongozi ya kutokuchukia, anaonesha chuki za wazi zidi ya ccm badala ya kuwaita ndugu zetu kutoka ccm ambao kimsigi ni watanzania wenzetu tunaotofautiana mitazamo yeye uwachukulia maadui na huwaita kwa kejeri " maccm"
Kwa maono hayo usitegemee watu hao watukuacha uchukue nchi ili baadae uwaadhibu

Pitia harakati za kiongozi wa upinzani Masood Abiora wa Nigeria mitazamo mikali dhidi ya utwala ulimnyima nchi.
Najua nchi za magaribi haziwezi kukaa nyuma yake
Click to expand...
Duuh!!

"....kama utapata nafasi, hakikisha unasoma tena mada yako kwa umakini uliotukuka, utagundua kuwa Tundu Lissu uliyemwandika na mifano uiliyotoa havifanani kabisa na mtu huyo na, badala yake, kuna mtu dhahiri ambaye anafanana na baadhi ya watu ambao umewataja kwa mlengo hasi (negatively)..."

LikeQuoteReply
Report
Sengobad
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#33
William Mshumbusi said:
Nazungumzia upinzani makini, nipo kuangalia upinzani unaotakiwa dhidi ya serikali iliyopo, hapa nimekusudia kumkosoa harakati za tundu hata kama hata kama tyungekuwa utumwani
We ni kibaraka tuu, uliyoyaandika lazima ulipwe tuu.

LikeQuoteReply
Report
William Mshumbusi
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#34
selase said:
Usidanganye watu lisu kuwa raisi sio hatari,hatari ni WEWE.Unaejitahidi kujipendekeza kwenye serikali ya kidhalimu.inayoua watu,inayoonea watu,inayonyanyasa watu,iliyoshusha uchumi wa nchi,inayoongozwa na dikteta uchwara,iliyo na sera mbovu za uchumi,SASA WEW NDIO HATARI.#bungenidhaifusana#

QuoteReply
ReportEditDelete
William Mshumbusi
JF-Expert Member
Jan 14, 2019
#35
selase said:
Usidanganye watu lisu kuwa raisi sio hatari,hatari ni WEWE.Unaejitahidi kujipendekeza kwenye serikali ya kidhalimu.inayoua watu,inayoonea watu,inayonyanyasa watu,iliyoshusha uchumi wa nchi,inayoongozwa na dikteta uchwara,iliyo na sera mbovu za uchumi,SASA WEW NDIO HATARI.#bungenidhaifusana#
Andiko langu nimetumia harakati zilizofanywa na akina mandela na Luther kwenye nchi zilizokuwa na tawala katili zaidi duniani. Lakini harakati zao ziliishia kupigania usawa na sio visasi na chuki dhidi ya anayekuonea. Hiyo ndio busara ninayoisema mimi. Unaujua wakati idd Amini Dada anampindua Obote Uganda watu hali haikuwa shwari Uganda, uganda ilikuwa imejaa shida, Watumishi wa umma kadhaa walikuwa hawalipwi mishahara, rushwa ilikuwa juu na kulikuwa na kupigania madaraka kati ya kabaka na Obote. Ivyo waganda wakamchukulia amini kama mkombozi. Uovu wa Obote uliwapofua na wakakuubali kusimika mzizi wa mtawala asiyekuwa na elimu kabisa.

HII NDIO VIEW YANGU SIANGALII UTAWALA ULIOPO ILA LISSU ANAFAA KUWA MBADALA WAKE?
 
Back
Top Bottom