Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Nimetoka kuongea na mke wangu muda huu akiniomba nimtumie kiasi cha pesa kw matumizi nikamuambia tu avute subira kdgo ntamtumia bdae, lkn ajabu baada ya km dakika 25 hivi inaingia msg hii, hiyo pesa tuma kwenye namba hii.
Nina uhakika hzi taarifa zetu huwa zinawafikia matapeli kupitia baadhi ya wafanyakazi wa hzi kampuni ambao si waaminifu.
sababu namba hii iliyonitumia msg (0746165416) nimejarbu kuipiga na majibu ni hya nimeweka ujumbe wa sauti chini hpo na namba niliyotakiwa kutuma pesa ni 0717029697 haipatikani