Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

Pole
Kuna ule uzi wako mwingine uliongea kwamba una 30 something na hakuna unachomiliki. Naona hata wazazi hawakuamini. Itakuwa una tatizo fulani either pombe, bangi, uzembe nk. Inabidi ujitathmini. Sisi hatuwezi kukusaidia. Kama wazazi wameshindwa sisi tutawezaje? Jisaidie mwenyewe sasa
 
Mungu ambariki sana Baba yako.
Baba yako anatenda kazi ya Mungu ya kuwapukutisha Maagent wa shetani,hao uliomshawishi achukue kadi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm haina mwanachama wa akili kama yako, kitaje chama chako usijifiche

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatoana Roho yarabii[emoji86] kwa mali alizoacha baba..mali ya baba itakutoa roho bora ukae pembeni bwana 38yrs....OLD

unalingana na kaka yng wa kwanza ila yy ana mali zake sio za baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…