GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kila nikimwangalia huyu Mtoto Baby KiwiGani na maisha mazima ya Ukurupukaji wa Baba yake Mzee wa Kukurupuka na Upopoma nahisi akikua anaweza akaomba tu auliwe au hata ajiue tu ili asipate aibu. Namwombea tu kwa Mwenyezi Mungu huyu Baby KiwiGani asije Kuiga tabia za ' Kipuuzi ' za Baba yake ili nae akikua asionekane ni Kituko.
Nawasilisha.
Nawasilisha.