Nahisi Baby ' KiwiGani ' akikua na kujua kuwa aliyemtungia Mimba ni Baba Mkurupukaji anaweza Kuomba auliwe tu asipate aibu!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kila nikimwangalia huyu Mtoto Baby KiwiGani na maisha mazima ya Ukurupukaji wa Baba yake Mzee wa Kukurupuka na Upopoma nahisi akikua anaweza akaomba tu auliwe au hata ajiue tu ili asipate aibu. Namwombea tu kwa Mwenyezi Mungu huyu Baby KiwiGani asije Kuiga tabia za ' Kipuuzi ' za Baba yake ili nae akikua asionekane ni Kituko.

Nawasilisha.
 
Wewe mbona hujajiua!!au unazani watu hawajui kuwa muzeiya alikuwa mwizi wa ng'ombe[emoji124][emoji124][emoji124]acha zako wewe!roho mbaya tu.
 
Mleta hoja umeyataka mwenyewe. Tiyari weshakujua kuwa ulihamishwa kuleee Rorya kwa sababu za kuiba ching'ombe. Dah! Kweli JF ni nomaaaa kishenzi. Haya Muraaa taghamba tuighweeee msani wane
 
Kila nikimwangalia huyu Mtoto Baby KiwiGani na maisha mazima ya Ukurupukaji wa Baba yake Mzee wa Kukurupuka na Upopoma nahisi akikua anaweza akaomba tu auliwe au hata ajiue tu ili asipate aibu. Namwombea tu kwa Mwenyezi Mungu huyu Baby KiwiGani asije Kuiga tabia za ' Kipuuzi ' za Baba yake ili nae akikua asionekane ni Kituko.

Nawasilisha.
Tulia ww mlimtaka wenyewe mpaka mnyooke kama vip toroka uje huku kisiwan Puerto Rico kamueleze Chakubanga wenu
 
Mleta hoja umeyataka mwenyewe. Tiyari weshakujua kuwa ulihamishwa kuleee Rorya kwa sababu za kuiba ching'ombe. Dah! Kweli JF ni nomaaaa kishenzi. Haya Muraaa taghamba tuighweeee msani wane
Duh ..kuiba ng'ombe tena
 
Hii haiko poa mkuu, muattack baba muache mtoto, utani kejeli kwa watoto si mzuri.

Unaweza kuniambia huyo unayedhani nimemlenga hapo ni nani? Kuna Watu mna viherehere halafu huwa mnatafuta wenyewe matatizo na Mimi. Nasubiri jibu langu ili nikushushie ' Kitu ' cha maana na matata sana ili kuanzia leo uwe una kaa mbali na hii ID.
 
Ma ~ Professor Wengine Ni Wa Hovyo Hawana Uzalendo. Mmoja Alisema Kwenye Makinikia Dhahabu Ni Asilimia 0.0002.
Nikamfukuza Hapo Hapo
 
Back
Top Bottom