GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Baba anatafuta ugali mengine ni yenu wanadamu
Mleta hoja umeyataka mwenyewe. Tiyari weshakujua kuwa ulihamishwa kuleee Rorya kwa sababu za kuiba ching'ombe. Dah! Kweli JF ni nomaaaa kishenzi. Haya Muraaa taghamba tuighweeee msani waneWewe mbona hujajiua!!au unazani watu hawajui kuwa muzeiya alikuwa mwizi wa ng'ombe[emoji124][emoji124][emoji124]acha zako wewe!roho mbaya tu.
Huyu sio Tata Muraaa. Ni Konkodi Murisyaa.Mleta hoja umeyataka mwenyewe. Tiyari weshakujua kuwa ulihamishwa kuleee Rorya kwa sababu za kuiba ching'ombe. Dah! Kweli JF ni nomaaaa kishenzi. Haya Muraaa taghamba tuighweeee msani wane
Tatiga mbane. Umemujuajee ni murisyaa! Nimemuonya kuwa ariyataka mwenyeweHuyu sio Tata Muraaa. Ni Konkodi Murisyaa.
Tulia ww mlimtaka wenyewe mpaka mnyooke kama vip toroka uje huku kisiwan Puerto Rico kamueleze Chakubanga wenuKila nikimwangalia huyu Mtoto Baby KiwiGani na maisha mazima ya Ukurupukaji wa Baba yake Mzee wa Kukurupuka na Upopoma nahisi akikua anaweza akaomba tu auliwe au hata ajiue tu ili asipate aibu. Namwombea tu kwa Mwenyezi Mungu huyu Baby KiwiGani asije Kuiga tabia za ' Kipuuzi ' za Baba yake ili nae akikua asionekane ni Kituko.
Nawasilisha.
We huoni "anafatiria" maisha ya wanaume wenzie bhaaana?!?!Tatiga mbane. Umemujuajee ni murisyaa! Nimemuonya kuwa ariyataka mwenyewe
Duh ..kuiba ng'ombe tenaMleta hoja umeyataka mwenyewe. Tiyari weshakujua kuwa ulihamishwa kuleee Rorya kwa sababu za kuiba ching'ombe. Dah! Kweli JF ni nomaaaa kishenzi. Haya Muraaa taghamba tuighweeee msani wane
Hii haiko poa mkuu, muattack baba muache mtoto, utani kejeli kwa watoto si mzuri.
Eee, walihamishwaga hawa wakapelekwa Mtwara wale majizi ya ng'ombeDuh ..kuiba ng'ombe tena