Kibaraka Lissu sasa anaipasua CHADEMA baada ya jaribio la mabeberu la kumuweka urais kushindwa vibaya. Kama watanzania wanavyomuelewa Lissu kwamba ni mtu muongo na mzushi sivyo mabwana zake walivyomuelewa. Inaelekea ameweza kuwaaminisha baadhi ya wafadhili wake anaungwa mkono na watanzania ndio wakamwekea yule mwanasheriaAmsterdam kutuletea vitisho vya kijinga.
Kwa wale wafuatiliaji wazuri mambo ya siasa bila shala waligundua wakati Lissu yuko Ubelgiji kabla ya uchaguzi alikua anafanya mambo kama vile ndio rais wa CHADEMA. Ilikua kama kuna CHADEMA mbili maana ilikua vigumu mtu kuamini kama yale anayosema ndio sera ya CHADEMA au yana baraka ya mwenyekiti wa CHADEMA.
Wakati wa kampeni tuliona vile Lissu alikuwa na agenda tofauti na ilani aliyokabidhiwa na CHADEMA. Inaelekea badala ya kuwaambia Watanzania kinachoahidiwa na CHADEMA anasema yale anayoelekezwa na mwanasheria Amsterdam.
Mambo ya kipaumbele kwa maliberali wa Ulaya kwetu Watanzania sio kipaumbele. Uhuru wa mtu kua shoga au malaya kwetu watanzania ina maana gani?
Uhuru wa kuropoka na kupinga kila kitu una maana gani kwetu? Sisi shida yetu kubwa ni maendeleo kiuchumi kwa msingi wa uhuru haki na usawa. Uhuru na haki nchini vipo kiasi cha kutosha wala mtu asitulaghai. Tunachotaka ni maendeleo kiuchumi ya wananchi.
Sasa uchaguzi umeisha Lissu ameshindwa vibaya na kuiponza CHADEMA kushindwa vibaya. Mtu muongo na mzushi anadai magufuli na CCM wameshinda kwa wizi wa kura. Magufuli na CCM wana ufundi wa wizi kiasi gani kuiba kura kwa kiasi hicho bila hata tone la ushahidi wa kufaa mahakamani kupatikana popote nchini.
Lissu badala ya kutaka wagombea wao kukusanya ushahidi wakate rufaa anapokea maelekezo ya Amsterdam wakatae matokeo na kutaka uchaguzi upya vinginevyo eti nchi iwekewe vikwazo tafikiri wao ndio wawekaji wa vikwazo.
Tunachoona sasa ni mvutano kati ya makundi mawili ya CHADEMA. Lile la Lissu linalotaka CHADEMA kususia bunge ili kukidhi matakwa ya kina armsterdam na kina acacia na wale wenye kutaka CHADEMA kutambua na kukubali matokeo ya uchaguzi.
Tuombe mungu kama CHADEMA itapona mpasuko katika hali hii ya kufuata sera za ubinafsi na usaliti kwa Taifa lao.
Huku kuna watu shabiki maandazi.chadema ni chama cha kibiashara sio chama cha kushika dola ELEWENI
Hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kuwafukuza wale.
Mbowe ndo mpishi mkuu wa wale kwenda bungeni.
Mnyika mwepesi sana,tena mdogo hata kwenye kiganja cha Halima anakaa na nafasi inabaki.
Lissu asiekuepo na lake halipo.
Lema mkimbizi Kenya.
Msigwa anaosha magari kijiweni kwake Iringa.
Sugu anaanda albam ya kutoka nayo 2021.
Wanaume gani wameshindwa? Kutoka wabunge 70 Hadi 1 hao ni wanawake waliowapa kichapo Cha shoga mwizi October 28?Wameshindwa kukiua chama wanaume wataweza wanawake? Ngoja tuone
Wanahangaika ile mbaya. Dhambi ya dhulma inawahangaisha. "The guilty are always uneasy".Yaani mahangaiko mnayopitia Leo CCM ni zaidi ya Kuku anayetaga.
Hizo fiction stories za kubrain wash watu wajinga kama nyie...ukienda Ulaya makanisa meupee wanasali vikongwe tuHujui nguvu ya mwanamke wewe.
Delila anatosha kuwa mfano.
Chadema hatuna namna zaidi ya kuwafukuza Hawa wanawake na kuendelea kuishi.Do or die.
Fukuza wanawake 19 na uishi, au bakiza wanawake na ufe
Hivi amesema kweli au ndio mabeberu wameingilia kati?Hamueleweki mnataka Nini maana kila mmoja anabwatuka kivyake, wanaojuwa wamekaa kimyaaaaa.
View attachment 1635896
Mungu ibariki TanzaniaKibaraka Lissu sasa anaipasua CHADEMA baada ya jaribio la mabeberu la kumuweka urais kushindwa vibaya. Kama watanzania wanavyomuelewa Lissu kwamba ni mtu muongo na mzushi sivyo mabwana zake walivyomuelewa. Inaelekea ameweza kuwaaminisha baadhi ya wafadhili wake anaungwa mkono na watanzania ndio wakamwekea yule mwanasheriaAmsterdam kutuletea vitisho vya kijinga.
Kwa wale wafuatiliaji wazuri mambo ya siasa bila shala waligundua wakati Lissu yuko Ubelgiji kabla ya uchaguzi alikua anafanya mambo kama vile ndio rais wa CHADEMA. Ilikua kama kuna CHADEMA mbili maana ilikua vigumu mtu kuamini kama yale anayosema ndio sera ya CHADEMA au yana baraka ya mwenyekiti wa CHADEMA.
Wakati wa kampeni tuliona vile Lissu alikuwa na agenda tofauti na ilani aliyokabidhiwa na CHADEMA. Inaelekea badala ya kuwaambia Watanzania kinachoahidiwa na CHADEMA anasema yale anayoelekezwa na mwanasheria Amsterdam.
Mambo ya kipaumbele kwa maliberali wa Ulaya kwetu Watanzania sio kipaumbele. Uhuru wa mtu kua shoga au malaya kwetu watanzania ina maana gani?
Uhuru wa kuropoka na kupinga kila kitu una maana gani kwetu? Sisi shida yetu kubwa ni maendeleo kiuchumi kwa msingi wa uhuru haki na usawa. Uhuru na haki nchini vipo kiasi cha kutosha wala mtu asitulaghai. Tunachotaka ni maendeleo kiuchumi ya wananchi.
Sasa uchaguzi umeisha Lissu ameshindwa vibaya na kuiponza CHADEMA kushindwa vibaya. Mtu muongo na mzushi anadai magufuli na CCM wameshinda kwa wizi wa kura. Magufuli na CCM wana ufundi wa wizi kiasi gani kuiba kura kwa kiasi hicho bila hata tone la ushahidi wa kufaa mahakamani kupatikana popote nchini.
Lissu badala ya kutaka wagombea wao kukusanya ushahidi wakate rufaa anapokea maelekezo ya Amsterdam wakatae matokeo na kutaka uchaguzi upya vinginevyo eti nchi iwekewe vikwazo tafikiri wao ndio wawekaji wa vikwazo.
Tunachoona sasa ni mvutano kati ya makundi mawili ya CHADEMA. Lile la Lissu linalotaka CHADEMA kususia bunge ili kukidhi matakwa ya kina armsterdam na kina acacia na wale wenye kutaka CHADEMA kutambua na kukubali matokeo ya uchaguzi.
Tuombe mungu kama CHADEMA itapona mpasuko katika hali hii ya kufuata sera za ubinafsi na usaliti kwa Taifa lao.
Ungekuwa na akili japo kidogo ungeligombea nafasi ya ujumbe wa kamati kuu CHADEMA ungeeleweka.Do or die.
Fukuza wanawake 19 na uishi, au bakiza wanawake na ufe
Wanasiasa ndani ya CHADEMA wanekabidhi chama kwa wanaharakati.Kuna wanaharakati na wanasiasa ndani ya CHADEMA.
Wanaharakati wanatoa maamuzi kwa mihemuko. Wanasiasa wanaangalia malengo ya chama kabla ya kufanya maamuzi.
Tatizo la wanaharakati ni kuwa wanaongea sana kuliko wanasiasa. Ndio maana mitandaoni zimejaa kauli za wanaharakati wa CHADEMA.
Iwapo wanasiasa wataongoza maamuzi, basi chama kitabaki salama. Wakiruhusu wanaharakati washinikize maamuzi, basi hawana safari ndefu.
Kwanza CHADEMA wameshamstukia Lissu. Amekuja na mapesa mengi kutoka mabeberu lakini hakutumia hata senti moja kusapoti wagombea ubunge wa CDM. Halafu waliopata ubunge wanasmbiwa wautose wabaki na njaa wakati yeye anakula bata Ubeljiji. Hii hata Mbowe hatakubali.Kosa kubwa lilikuwa kumpitisha Lissu kugombea Urais, akawa ananadi utashi wake na wafadhili wake, akaweka ilani ya chama pembeni [emoji23]
Haya ni matokeo tu
Sina haja ya akili na sizitaki, pesa nilizonazo zinanitoshaUngekuwa na akili japo kidogo ungeligombea nafasi ya ujumbe wa kamati kuu CHADEMA ungeeleweka.
Kutwa kulia lia mitandaoni bila concrete solutions. Do or die
Mwenzako Magufuli alikuwa anatambia watu kuwa Chadema imekufa lakini ulipokuja uchaguzi hakuamini macho yake!Kibaraka Lissu sasa anaipasua CHADEMA baada ya jaribio la mabeberu la kumuweka urais kushindwa vibaya. Kama watanzania wanavyomuelewa Lissu kwamba ni mtu muongo na mzushi sivyo mabwana zake walivyomuelewa. Inaelekea ameweza kuwaaminisha baadhi ya wafadhili wake anaungwa mkono na watanzania ndio wakamwekea yule mwanasheriaAmsterdam kutuletea vitisho vya kijinga.
Kwa wale wafuatiliaji wazuri mambo ya siasa bila shala waligundua wakati Lissu yuko Ubelgiji kabla ya uchaguzi alikua anafanya mambo kama vile ndio rais wa CHADEMA. Ilikua kama kuna CHADEMA mbili maana ilikua vigumu mtu kuamini kama yale anayosema ndio sera ya CHADEMA au yana baraka ya mwenyekiti wa CHADEMA.
Wakati wa kampeni tuliona vile Lissu alikuwa na agenda tofauti na ilani aliyokabidhiwa na CHADEMA. Inaelekea badala ya kuwaambia Watanzania kinachoahidiwa na CHADEMA anasema yale anayoelekezwa na mwanasheria Amsterdam.
Mambo ya kipaumbele kwa maliberali wa Ulaya kwetu Watanzania sio kipaumbele. Uhuru wa mtu kua shoga au malaya kwetu watanzania ina maana gani?
Uhuru wa kuropoka na kupinga kila kitu una maana gani kwetu? Sisi shida yetu kubwa ni maendeleo kiuchumi kwa msingi wa uhuru haki na usawa. Uhuru na haki nchini vipo kiasi cha kutosha wala mtu asitulaghai. Tunachotaka ni maendeleo kiuchumi ya wananchi.
Sasa uchaguzi umeisha Lissu ameshindwa vibaya na kuiponza CHADEMA kushindwa vibaya. Mtu muongo na mzushi anadai magufuli na CCM wameshinda kwa wizi wa kura. Magufuli na CCM wana ufundi wa wizi kiasi gani kuiba kura kwa kiasi hicho bila hata tone la ushahidi wa kufaa mahakamani kupatikana popote nchini.
Lissu badala ya kutaka wagombea wao kukusanya ushahidi wakate rufaa anapokea maelekezo ya Amsterdam wakatae matokeo na kutaka uchaguzi upya vinginevyo eti nchi iwekewe vikwazo tafikiri wao ndio wawekaji wa vikwazo.
Tunachoona sasa ni mvutano kati ya makundi mawili ya CHADEMA. Lile la Lissu linalotaka CHADEMA kususia bunge ili kukidhi matakwa ya kina armsterdam na kina acacia na wale wenye kutaka CHADEMA kutambua na kukubali matokeo ya uchaguzi.
Tuombe mungu kama CHADEMA itapona mpasuko katika hali hii ya kufuata sera za ubinafsi na usaliti kwa Taifa lao.
Hujui chochote kaa kimya. Wanaojua wanajua kua cdm ilipata majimbo mangapi uchaguzi huu.Wanaume gani wameshindwa? Kutoka wabunge 70 Hadi 1 hao ni wanawake waliowapa kichapo Cha shoga mwizi October 28?
Kana kwamba uchaguzi huu ulikuwa na udanganyifu mkubwa, hilo wala halihitaji mjadala. Tumeona kwa macho yetu wala hatuhadithiwi. Hivyo haya maelezo yako marefu ni bora ungejadili mambo mengine, lakini sio kusema ulikuwa uchaguzi halali. Cdm haujagawanyika makundi mawili, bali kuna wanacdm kadhaa walioamua
Tungefurahi zaidi kama ingepasuka vipande sita.Kana kwamba uchaguzi huu ulikuwa na udanganyifu mkubwa, hilo wala halihitaji mjadala. Tumeona kwa macho yetu wala hatuhadithiwi. Hivyo haya maelezo yako marefu ni bora ungejadili mambo mengine, lakini sio kusema ulikuwa uchaguzi halali. Cdm haujagawanyika makundi mawili, bali kuna wanacdm kadhaa walioamua kushirikiana na shetani kuhalalisha haramu. Nakushauri urudi studio kutengeneza propaganda nyingine boss.
Acha ujinga wa kufikirika .CHADEMA jimbo lao Tanzania nzima walilopata ni moja tu.Hayo mengine unayoyajua ni ya kwako,Lissu na wakili msomi Amsterdam .Ona sasa mpaka wanawake wanaona ujinga huu wanawakimbia wanaume maana hawaoni tofauti.Matusi,dharau na kebehi ziliwaponza mpaka akili zinawaruka maana juzi nilimsikia Tundu Lissu ( laana ya Mungu imshukie) akiwaambia mabwana zake huko aliko kwamba eti yeye ndiye aliyeshinda uchaguzi.Ana akili kweli mtu wenu huyu ? Hata siku moja huwezi kuwaambia wapiga kura kuwa usipochaguliwa patachimbika.watakushangilia tu ili umalize uondoke lakini kwa ujinga wako utadhani wanakupenda.Chama kilikuwa kizuri sana hiki cha kupata wabunge hata 150,lakini mkalichukua dude kutoka lilipotokea mkalikabidhi bendera matokeo yake limewaharibia wote.Hujui chochote kaa kimya. Wanaojua wanajua kua cdm ilipata majimbo mangapi uchaguzi huu.
Sita vichache, tufanye 20 kabisa.Tungefurahi zaidi kama ingepasuka vipande sita.