Nahisi Clouds watakuja na kitu hivi karibuni...

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Ninahisi kuwa clouds wanampango wa kuja na kitu/burudani ambayo inaweza kuwa karibu kabisa na show ya p square ili tu kuwaharibia jamaa wa EATV ili nao wabume kama wao walivyobuma.

Hii ni kutokana na niliyoyasikia leo kwenye kipindi cha jahazi kuwa wako kuna maamuzi yanafanyika.

So EATV stay tuned msiseme hamkuambiwa.
 

kumbe unawasikiliza wafu fm! kama wao wamefanyiwa fitna, waliofanya fitna wanajihamii, ila nao walibug ktndo cha kuwakod e-masters kwenye sound system wakt hao e-mastr n washrka wa dtv/times fm..!hahahaha noumer xanaa. Hayo maneno niliyackia backstage wakat jenereta lilipozingua kwenye fiestaaa, but co kesi clouds fm tutajipanga sio kwa kulipiza kisasi bali kwa ku kuzdsha ubunifu na kuongeza umakini.!over
 

sibagui radio za kusikiliza,sina chuki na redio yoyote
 
naskia wanakuja na fursa dar es salaama.
 
inabidi wajifunze hawa clauds fm. walimfanyia jide wa watu fitna kwa kutangaza show ya F.A. siku moja na anakonda wakaadhirika. na show ya fiesta haikufanya vizuri kama miaka ya nyuma. inabidi wajipange na si kutaka revange. kwani mchawi wao ni wao wenyewe kwa kujiona wao zaidi ya wengine.
huwezi mwambia mwenzio akabidhi kijiti wakati mwenzio anatafuta ugali hapo.
 
Nilikua nawasikilizaga hawa jamaa ila siku hizi wamechuja....nafkiri wanashidwa kufikiria nje ya box...
 
watatfuta fursa tu ha ha ha
 
ndo hapo watapozidi kufilisika, wataingia gharama zaidi ambayo haitawalipa,ea radio/tv ni vichwa sana ukilinganisha na hawa magalasa...hilo lipo wazi.

mf. tiket zimeanza kuuzwa jana thr mpesa, na bei ni 30k kwa haraka haraka ile haitakua shoo ya watoto wa mbwa ambao ndo mtaji wa clouds, ni shoo ya watu wanaojielewa. af ukiangalia hawa watoto wa mengi na mdhamini wao vodacom wapo very well planned, unanunua ticket kwa mpesa unapewa security code ambayo utakuja kuionyesha tar 18 nov kwenye branch zao(sio maduka ya nguo sijui born to shine sijui upuuzi gani) kwa hilo tu inaonyesha kua shoo itakua classic. ushauri wangu wawe wapole tu.
 

hahahha
 
Ni kweli Clouds waliwatumia e masters kwenye issue za sound? DJ Bonny Love wamemtosa?
 
naona post ya 4 hii unamtaja bony kwani yeye ndo unadhan angeweza kuiokoa wafu fm?

Miaka mingi toka enzi hizo DJ Bonny Love ndiye Sound injinia wa Mawingu na hawajawahi kupata kadhia ya sound kama hii!!!
 
wamebugiii mennnnnn #wafufm fiesta mbovu ya mwakaa huu hana msanii wa marekaniii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…