Nahisi Diamond na Kiba wametuchezea mind game

four eyes

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
905
Reaction score
1,408
Sijui kama ni mimi tu aliyegundua hili au kuna mwingine ila hajasema.
Nahisi Diamond na kiba wameamua kuitumia beef yao kibiashara zaidi.

Nimegundua hili baada ya kutafakari mazingira ya kuachiliwa kwa nyimbo zao mpya jinsi kulivyotengenezwa build up ya maana kuelekea kuachiliwa nyimbo hizo. Kwanza ilianza kwa Diamond kuingiza mistari iliyoonyesha kumsema Kiba waziwazi, pili ktk hali isiyo ya kawaida Kiba akaandika mambo ktk twitter yaliyoonyesha kumjibu Diamond waziwazi na Ommy Dimpoz pia akijiingiza ktk beef hiyo.

Katika hali ya kawaida Diamond na kiba pamoja na kufahamika kuwa na beef hawajawahi kuwa wazi kiasi hiki na kujibizana waziwazi. Isitoshe wamekuwa wakikanusha kuwa na beef ktk interview zao zote na hivyo kubaki wakihisiwa tu kuwa na beef kwa kuzingatia uchunguzi wa vitendo au matukio fulanifulani tu.

Zamu hii wamekuwa wazi sana na baada ya kuzua gumzo kubwa kuhusu kutupiana kwao maneno hapohapo zikaachiwa nyimbo mbili ambazo sasa zinashindanishwa na matokeo yake zimepata kiki kubwa sana. Hii inanifanya niamini kuwa sasa wawili hawa wamepata mshauri mzuri wa uchumi na fursa aliyewashauri kushirikiana kutumia beef yao kifaida zaidi katika mziki wao.

Kama hivyo ndivyo basi hongera kwao kwa kuiona fursa na kuitumia kibiashara wakat sisi washabiki tukitokwa na mapovu ya uteam.
 
IMG_20170831_130406.jpg
Ts sad am one of them mmmh!!!
 
Alafu lazima ujue kuwa jamaa hawa wanaakili za ziada.

Wakati kukiwa na vuguvugu la mtoto wa mabeto kuwa ni wa mond, ikabidi jamaa wazizime hizo skendo kwa style hiyo ili jamaa asije kosa ugali kwa bibie zari.

Nimejaribu kuwaza kwa sauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom