Ruge alisema msimu huu wa fiesta hawatosajili msanii yoyote toka nje kwani wasanii wa ndani wameshakua wa kimataifa nao pia. Kinachofanyika sasa ni wote kiba na mond kusajiliwa fiesta alafu huone jamaa wanavyotaka kupiga pesa ndefu maana Clouds ndio wadau wa Mond kwenye mambo ya kuingiza pesa wanamtumia sana jamaa, hili ni la makusudi kabisa ili watu watengeneze pesa kumbuka hata mondi aliwahi kusema waweke mkali nani mradi tu iwe ni ishu ya pesa.
Mjini shule nyie tukaneni mitandaoni watu waingize ela vizuri.
Sent using
Jamii Forums mobile app