Ommy kavamia tren kwa mbele..na umbea wake...Kwa jinsi mama Diamond alivyo postiwa na kutukanwa vile hili bifu lao sio la kupikwa.
-Ndumilakuwili-
Dimpoz yaeleke hakujua chochote kinachoendeleKwa jinsi mama Diamond alivyo postiwa na kutukanwa vile hili bifu lao sio la kupikwa.
-Ndumilakuwili-
Na kwenye Fresh Mondi kamuita jamaa kipusa na Kiba verse ya kwanza anasema wananiita kipusa
Wakuu hilo neno kipusa lilikuwa limepostiwa na Alikiba wiki moja kabla ya kutowa wimbo kwenye page yake na kwenye remex ya fresh jamaa hajalitumia hilo neno amekuja kulitumia baadaye kwenye freestyle aliyokuja kumjibu Kiba baada ya kuitwa malkia wa nguvu.Exactly..this is it...huu wimbo kiba alikua keshatunga...so diamond kumuita kipusa ni ktk kuja kunogesha wimbo..
Hawa watu hawana bifu la kizembe km shabiki wanavyo likuza...
Ommy kavamia tren kwa mbele..na umbea wake...
Siku nyingine hatorudia...
Ugomvi haumuhusu kajiingiza kichwa kichwa...
Ommy hakujiingiza kwenye hilo bifu kilichotokea ni Diamond aliwaimba wote kwenye freestyle ile ya pili na alilenga kumsema kwamba Ommy ni shoga ndio maana Ommy akaandika vile jaribuni kufatilia tukio lilipo anza hadi mwisho kuna kitu mtagundua.Dimpoz yaeleke hakujua chochote kinachoendele
to be one ask one. au mkuu nimekoseaHao wote jamii moja sasa mashabiki hawajui ndio wana hahaa jamii yao ni hii 2B1ASK1 Ukielewa matumizi ya hili neno bas.
Sent using Iphone 7+
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ngoja waje wenye hobby za ujinga uone watakavyo kublock!!Kuna Vitu Important But Not Necessary Kiba Na Mond Wakuumize Kichwa , Arsenal Ikuumize Kichwa, ajira Zikuumize Kichwa , Mtaji Wa Kujiajili Ukuumize Kichwa, Mchumba Akuumize Kichwa. kuna vitu hata nisipovijua ni bora zaid
Kuna Vitu Important But Not Necessary Kiba Na Mond Wakuumize Kichwa , Arsenal Ikuumize Kichwa, ajira Zikuumize Kichwa , Mtaji Wa Kujiajili Ukuumize Kichwa, Mchumba Akuumize Kichwa. kuna vitu hata nisipovijua ni bora zaid
Siyo diamond alimuita ommy vishavu nukta? Mond asingemuingiza ommy, ommy asingemdharirisha vileOmmy kavamia tren kwa mbele..na umbea wake...
Siku nyingine hatorudia...
Ugomvi haumuhusu kajiingiza kichwa kichwa...
OKSiyo diamond alimuita ommy vishavu nukta? Mond asingemuingiza ommy, ommy asingemdharirisha vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi mama Diamond alivyo postiwa na kutukanwa vile hili bifu lao sio la kupikwa.
-Ndumilakuwili-
Ruge alisema msimu huu wa fiesta hawatosajili msanii yoyote toka nje kwani wasanii wa ndani wameshakua wa kimataifa nao pia. Kinachofanyika sasa ni wote kiba na mond kusajiliwa fiesta alafu huone jamaa wanavyotaka kupiga pesa ndefu maana Clouds ndio wadau wa Mond kwenye mambo ya kuingiza pesa wanamtumia sana jamaa, hili ni la makusudi kabisa ili watu watengeneze pesa kumbuka hata mondi aliwahi kusema waweke mkali nani mradi tu iwe ni ishu ya pesa.
Mjini shule nyie tukaneni mitandaoni watu waingize ela vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app