bifu lipo...kamuita Kipusa baada ya kutukanwa na Alikiba. Kila MTU alijua ally anatoa kipusaExactly..this is it...huu wimbo kiba alikua keshatunga...so diamond kumuita kipusa ni ktk kuja kunogesha wimbo..
Hawa watu hawana bifu la kizembe km shabiki wanavyo likuza...
Pata pipi kwa mangi hapo nitalipa,umeelewa sana ninachokionaRuge alisema msimu huu wa fiesta hawatosajili msanii yoyote toka nje kwani wasanii wa ndani wameshakua wa kimataifa nao pia. Kinachofanyika sasa ni wote kiba na mond kusajiliwa fiesta alafu huone jamaa wanavyotaka kupiga pesa ndefu maana Clouds ndio wadau wa Mond kwenye mambo ya kuingiza pesa wanamtumia sana jamaa, hili ni la makusudi kabisa ili watu watengeneze pesa kumbuka hata mondi aliwahi kusema waweke mkali nani mradi tu iwe ni ishu ya pesa.
Mjini shule nyie tukaneni mitandaoni watu waingize ela vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama ni mimi tu aliyegundua hili au kuna mwingine ila hajasema.
Nahisi Diamond na kiba wameamua kuitumia beef yao kibiashara zaidi.
Nimegundua hili baada ya kutafakari mazingira ya kuachiliwa kwa nyimbo zao mpya jinsi kulivyotengenezwa build up ya maana kuelekea kuachiliwa nyimbo hizo. Kwanza ilianza kwa Diamond kuingiza mistari iliyoonyesha kumsema Kiba waziwazi, pili ktk hali isiyo ya kawaida Kiba akaandika mambo ktk twitter yaliyoonyesha kumjibu Diamond waziwazi na Ommy Dimpoz pia akijiingiza ktk beef hiyo.
Katika hali ya kawaida Diamond na kiba pamoja na kufahamika kuwa na beef hawajawahi kuwa wazi kiasi hiki na kujibizana waziwazi. Isitoshe wamekuwa wakikanusha kuwa na beef ktk interview zao zote na hivyo kubaki wakihisiwa tu kuwa na beef kwa kuzingatia uchunguzi wa vitendo au matukio fulanifulani tu.
Zamu hii wamekuwa wazi sana na baada ya kuzua gumzo kubwa kuhusu kutupiana kwao maneno hapohapo zikaachiwa nyimbo mbili ambazo sasa zinashindanishwa na matokeo yake zimepata kiki kubwa sana. Hii inanifanya niamini kuwa sasa wawili hawa wamepata mshauri mzuri wa uchumi na fursa aliyewashauri kushirikiana kutumia beef yao kifaida zaidi katika mziki wao.
Kama hivyo ndivyo basi hongera kwao kwa kuiona fursa na kuitumia kibiashara wakat sisi washabiki tukitokwa na mapovu ya uteam.
Picha ya alikiba ilikuwa inafanya nini WCB?Bifu lipo tena kubwaaaaa. Diamond mpaka kabandua na kuvunja picha ya Ally Kiba kwenye ofisi za WCB
Exactly..this is it...huu wimbo kiba alikua keshatunga...so diamond kumuita kipusa ni ktk kuja kunogesha wimbo..
Hawa watu hawana bifu la kizembe km shabiki wanavyo likuza...
Naona tuko sawa sana mkuu.Kuna Vitu Important But Not Necessary Kiba Na Mond Wakuumize Kichwa , Arsenal Ikuumize Kichwa, ajira Zikuumize Kichwa , Mtaji Wa Kujiajili Ukuumize Kichwa, Mchumba Akuumize Kichwa. kuna vitu hata nisipovijua ni bora zaid
To Be First, Ask First!Hao wote jamii moja sasa mashabiki hawajui ndio wana hahaa jamii yao ni hii 2B1ASK1 Ukielewa matumizi ya hili neno bas.
Sent using Iphone 7+
Naisi mawazo yako hayajapishana na yangu...hawa madogo wahuniSijui kama ni mimi tu aliyegundua hili au kuna mwingine ila hajasema.
Nahisi Diamond na kiba wameamua kuitumia beef yao kibiashara zaidi.
Nimegundua hili baada ya kutafakari mazingira ya kuachiliwa kwa nyimbo zao mpya jinsi kulivyotengenezwa build up ya maana kuelekea kuachiliwa nyimbo hizo. Kwanza ilianza kwa Diamond kuingiza mistari iliyoonyesha kumsema Kiba waziwazi, pili ktk hali isiyo ya kawaida Kiba akaandika mambo ktk twitter yaliyoonyesha kumjibu Diamond waziwazi na Ommy Dimpoz pia akijiingiza ktk beef hiyo.
Katika hali ya kawaida Diamond na kiba pamoja na kufahamika kuwa na beef hawajawahi kuwa wazi kiasi hiki na kujibizana waziwazi. Isitoshe wamekuwa wakikanusha kuwa na beef ktk interview zao zote na hivyo kubaki wakihisiwa tu kuwa na beef kwa kuzingatia uchunguzi wa vitendo au matukio fulanifulani tu.
Zamu hii wamekuwa wazi sana na baada ya kuzua gumzo kubwa kuhusu kutupiana kwao maneno hapohapo zikaachiwa nyimbo mbili ambazo sasa zinashindanishwa na matokeo yake zimepata kiki kubwa sana. Hii inanifanya niamini kuwa sasa wawili hawa wamepata mshauri mzuri wa uchumi na fursa aliyewashauri kushirikiana kutumia beef yao kifaida zaidi katika mziki wao.
Kama hivyo ndivyo basi hongera kwao kwa kuiona fursa na kuitumia kibiashara wakat sisi washabiki tukitokwa na mapovu ya uteam.
Hiyo kipusa Alikiba alikuwa ameshaiandika Insta wiki 2 kabla hajaachia wimbo, kwani kutunga kale kaverse kanacost muda kiasi gani, kama mwandishi mzuri kata lisaa haliishiVerse ya alikiba anaposema wananiita kipusa ameisikia lini kuitwa kipusa akaiingiza fasta kwenye nyimbo?kaitwa kipusa jana leo anaachia wimbo eti wananiita kipusa,hawa majamaa wanajua wanachofanya