Nahisi Diamond Platnumz kaniloga

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
-Matatizo ndio mlo wangu kila siku,
-Pesa hazikamatiki,
-Maisha yananizidi kimo,
-Nafukuzwa kila mahali na migambo wa jiji sifanyi biashara zangu kwa amani, eti nachafua jiji,
-Maji shida,
-Umeme shida,
-Hata ugaidi nasingiziwa mwenzenu,
-Mama nae hata shida zangu hanisikilizi tena, wengine wakimpamba kuwa naupiga mwingi,
- Bora hata baba alivyokuwepo nilitatuliwa matatizo papo kwa papo, lakini saivi mama hata nyumbani hakai tena vile vikao tulivyokuwa tunafanya hata ndani saivi tunafukuzwa kama wahalifu.
-Nina mengi ya kusimulia naogopa nisije kuitwa mchochezi

Diamond, Diamond kwani nimekukosea nini kunifitini hivi?


Thread hii kwa hisani ya: Harmonize
 
mataga wa madale jana mmakonde amewavua gagulo mbele ya wakwe, mmepanic kweri-kweri
 
MMKONDE KAPOTEZA DIRA,ALBUM IMEBUMA ANATAFUTA PA KUFIA

AFU KINACHOUMA HAJIBIWI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…