Nahisi Haus gel wangu ananitega

Nahisi Haus gel wangu ananitega

mpe salam mkeo arudi na maid mpya kutoka kijijini na huyo mtimueni hawafai na ndoa atavuruga!!!!ushaur wangu 2...
 
Huyo ukitafuna itakua noma ataleta dharau live, kama ni nyege zinamsumbua msogezee mshkaji wako atafune kimtindo.
 
DONT TRY THIS AT HOME.
unadhani ukishamla huyo binti atakuachia?? ndo atataka afanye mapinduzi na atakua jeuri kweli kwa mkeo. PLS KWA HESHIMA YAKO NA MKEO WALA USIDHUBUTU KUMGUSA.

in advance mkeo akirudi umweleze tatizo hilo na ikiwezekana mumrudishe alikotoka mlete msichana mwingine.
 
Jamani leo uzalendo umenishinda.
Nimemmega hausi gel wangu , usiku mzima ulikuwa wa huba zito.
Nimejilaumu sana na niapa kuwa kamwe sitarudia kumega ma hausi gel.
Nimeshaongea na bi mkubwa kuwa aje na hausi gel mwingine huyu simtaki tena
 
Wewe utakuwa sio wa kwanza kwani hujasikia hata viongozi wengine walioshika wadhifa kubwa hapa nchini wakafikishwa mahakamani wao walipanda mpaka mbegu na zikamea na wake zao walikuwa wanawapenda sana na wengine bado wanaendelea na ndoa zao zimeimalika. Bahati mbaya haturuhusiwi JF kutaja majina ya watu labada hii itakufanya usiende nje na ukawa unarudi mapema nyumbani. Mcheki na Mke wako huko nyumbani alikoenda kutizama Mgonjwa asikawie sana. Ukiona Mgojwa kapata nafuu na yeye anaendelea kukaa huko umfuate haraka.
Duh!!!!
Nauheshimu sana ushauri wako, lakini kwa jinsi ninavyompenda mke wangu, kamwe sito diriki kutembea na mwanamke yeyote zaidi yake.
 
Kweli kumshinda shetani ni kazi kwa sababu sisi ndio mashetani wenyewe
Jamani leo uzalendo umenishinda.
Nimemmega hausi gel wangu , usiku mzima ulikuwa wa huba zito.
Nimejilaumu sana na niapa kuwa kamwe sitarudia kumega ma hausi gel.
Nimeshaongea na bi mkubwa kuwa aje na hausi gel mwingine huyu simtaki tena
 
Nimeoa na ninaishi na mfanyakazi nyumbani.
Mke wangu kaenda kijijini kwao kumuuguza dada yake hivyo basi nyumbani nimebaki mimi tu na msichana wetu wa kazi.
Ijumaa usiku, nlirudi mapema sana nyumbani, binti akawa haishi kukatiza mbele yangu na kanga moja tu aliyojifunga kifuani, yaani kanga ilikuwa inaangaza sana hadi nikawa naioana chupi yake ya pikini pila hata kutumia nguvu.
Jumamosi alivaa kasketi kafupi sana, na kali kabisa ni ya jana usiku.
Alikuja kunigongea mida ya saa tano usiku, akisema chumbani kwake anasikia sauti za watu wanaongea dirishani.
Nikaenda kusikiliza hizo sauti, kukawa kimya kwa zaidi ya dk 15.
nikarudi chumbani kwangu kulala.
Saa saba akaja na kuniambia hawezi kulala kwa sababu ya woga hivyo anaomba nikalale naye.
Duhhhh, ikabidi nimwambie kuwa mi mwenyewe naogopa hizo sauti kwa hiyo akalale sebuleni.
Akaenda huko na hajanisumbua tena.
Kichwani nimebaki na maswali huyu binti ananiteha au mimi ndio nawaza vibaya?
Chukua hatua... mara inayofuata huchelewi kupigiwa mayowe ...UMEMBAKA!!
 
Jamani leo uzalendo umenishinda.
Nimemmega hausi gel wangu , usiku mzima ulikuwa wa huba zito.
Nimejilaumu sana na niapa kuwa kamwe sitarudia kumega ma hausi gel.
Nimeshaongea na bi mkubwa kuwa aje na hausi gel mwingine huyu simtaki tena

Huna akili kweli wewe....halafu ndio kwanini unamfukuza? Hata haya huna, eti simtaki tena, shaitwani kamili. Jana umeshauriwa hapa jioni ukaenda kulala naye, halafu utasema nani malaya, wewe au yeye? Ukipima baada ya miezi mitatu ukakuta una virusi uni PM nikafanye sherehe maana hayo ndiyo malipo stahili kwako na wale wote anaonyanyasa mahausigeli na mahausiboi.
 
Dahhhh... nahisi ungekuwa jirani ungemcharaza makofi

loh! Ulikuwa unataka ushauri wa nini sasa? Maana robo tatu tulikukataza kumdunya huyo hg.
Kampangie chumba uendelee kumdunya taratibu.
 
Jamani leo uzalendo umenishinda.
Nimemmega hausi gel wangu , usiku mzima ulikuwa wa huba zito.
Nimejilaumu sana na niapa kuwa kamwe sitarudia kumega ma hausi gel.
Nimeshaongea na bi mkubwa kuwa aje na hausi gel mwingine huyu simtaki tena

Kwa mara ya kwanza umenisikitisha kakaaa mpendwa ...umeiharibu siku yangu :redfaces::redfaces:
 
Jamani leo uzalendo umenishinda.
Nimemmega hausi gel wangu , usiku mzima ulikuwa wa huba zito.
Nimejilaumu sana na niapa kuwa kamwe sitarudia kumega ma hausi gel.
Nimeshaongea na bi mkubwa kuwa aje na hausi gel mwingine huyu simtaki tena

mnh kama kweli mungu akulaani,uondoke na gonjwa lolote la kuambukiza!...:redfaces::redfaces:
 
Jamani leo uzalendo umenishinda.
Nimemmega hausi gel wangu , usiku mzima ulikuwa wa huba zito.
Nimejilaumu sana na niapa kuwa kamwe sitarudia kumega ma hausi gel.
Nimeshaongea na bi mkubwa kuwa aje na hausi gel mwingine huyu simtaki tena

Niliwahi kusema hapa kwamba linapokuja suala zima la ngono zembe, wanaume ni wadhaifu zaidi kuliko wanawake. Yaani mwanaume ukitegwa na mwanamke huwa inakuwa vigumu sana kuruka viunzi kuliko pale ambapo mwanaume anamtaka mwanamke!

Huu ni mfano hai. Pole mzee kwa ''guilty counsicious'' uliyonayo baada ya kumtafuna mtoto wa watu...Ila naye kauyataka mwenyewe!
 
Jamani leo uzalendo umenishinda.
Nimemmega hausi gel wangu , usiku mzima ulikuwa wa huba zito.
Nimejilaumu sana na niapa kuwa kamwe sitarudia kumega ma hausi gel.
Nimeshaongea na bi mkubwa kuwa aje na hausi gel mwingine huyu simtaki tena

Huyo bi mkubwa akisoma hii thread basi atakuja na hausi gel mpya na mume mpya vilevile
 
makubwa haswaa, yaani ndio waume zetu hawa, kweli nitakuwa tayari kumsamehe mr kwa kosa lingine lolote lakini sio kuvuliana chupi na h/g ..nope nope...akakamate nguchiro huko nje.

WAAAA!!!!!, Na wewe Nyamayao, akikamata nguchiro huko nje ndo afadhali?, kwani H/G, sio mwanamke?, Kwanza katunzwa vizuri nyumbani humo, kajaajaa kila kiungooooo!!!!!!!!!!!
 
Nimeoa na ninaishi na mfanyakazi nyumbani.
Mke wangu kaenda kijijini kwao kumuuguza dada yake hivyo basi nyumbani nimebaki mimi tu na msichana wetu wa kazi.
Ijumaa usiku, nlirudi mapema sana nyumbani, binti akawa haishi kukatiza mbele yangu na kanga moja tu aliyojifunga kifuani, yaani kanga ilikuwa inaangaza sana hadi nikawa naioana chupi yake ya pikini pila hata kutumia nguvu.
Jumamosi alivaa kasketi kafupi sana, na kali kabisa ni ya jana usiku.
Alikuja kunigongea mida ya saa tano usiku, akisema chumbani kwake anasikia sauti za watu wanaongea dirishani.
Nikaenda kusikiliza hizo sauti, kukawa kimya kwa zaidi ya dk 15.
nikarudi chumbani kwangu kulala.
Saa saba akaja na kuniambia hawezi kulala kwa sababu ya woga hivyo anaomba nikalale naye.
Duhhhh, ikabidi nimwambie kuwa mi mwenyewe naogopa hizo sauti kwa hiyo akalale sebuleni.
Akaenda huko na hajanisumbua tena.
Kichwani nimebaki na maswali huyu binti ananiteha au mimi ndio nawaza vibaya?
Vitu vingine umejitakia mwenyewe hata mawazo mabaya ni wewe mwenyewe kilichofanya umkodolee beki 3 wenu macho mpaka ukaona chupi yake ni ya pinki ni nini, au unadhani yeye hakukuona unavolikodoa jicho, hapo ndo ulimpa mwanya, ulitakiwa uwe serious kama baba wa house, ajipitishe na khanga moja, abinuke we ndo kwanza uko busy na sms unachat na mkeo mpendwa huko uchagoo, na umwambie chakula kikiwa tayari weka mezani chapa mwendo chumbani kalale, kumbuka hata yeye anahaki ya kupenda bila kujua anavuka mipaka, napengine we ni mhendii unamchanganya dada jamani umezidi uzuri, we kua serious usiangalie vivazi vyake akizi kukusumbua mtishie ntamwambia maza mjengo huna adabu, utaona mwenyewe ataacha, inaonekana umemtesa moyo kwa muda mrefu, huyo maza nae asizamie huko tabanjuu atakuta housemaid wake kawa msaidizi wake. Punguza kukodoa. Kua serious na usijaribu. SIMBA AKIONJA NYAMA YA BINADAM HAWEZI ACHA.
 
Back
Top Bottom