Nahisi Haus gel wangu ananitega

mmmhhhh mwenzangu mbona hicho kiburi sikioni???
na mshahara bado ni uleule....
mmmhh na vijana anowajua ni wale tu anaoimba nao kwaya....
kuna kitu ambacho we unajua mimi sijui???
mmmmhhhh unaniogopesha baba watoto..
mie niliona kama ulivyomtuma maji ya kunywa uso wake ulibadika
huwa anasikiliza ukimwachia majukumu, unajua mie huwa sionge nae
nasoma body language tu.................
 
mie niliona kama ulivyomtuma maji ya kunywa uso wake ulibadika
huwa anasikiliza ukimwachia majukumu, unajua mie huwa sionge nae
nasoma body language tu.................

mmmmhhh bwana mbona mi sijaona hilo???
hiyo ya body language hiyo... mmmhhhh inanitisha kidogo..
borea muongee wotw tujue mnaongea nini.......
jana wakati tuna kula dinner nilihisi kama mnakanyagana miguu...
ni hisia zangu mbovu au hiyo ndo body language ya miguu?? hahahhaha lol
 
usije ukawa unadanganywa na shoga yako nanihilo............. wewe unajua miguu yako yote ilikuwa kwangu
au unazunguzia mguu gani hapa...........hahah
 
usije ukawa unadanganywa na shoga yako nanihilo............. wewe unajua miguu yako yote ilikuwa kwangu
au unazunguzia mguu gani hapa...........hahah

aaaaahhhhh baba watoto embu acha hayo maneno kabisa....
basi samahani atakuwa ni paka alikua chini ya meza...hahahahh lol

mi naona tumuweke houseboy huyu akiondoka au vipi??? hahah lol
 
aaaaahhhhh baba watoto embu acha hayo maneno kabisa....
basi samahani atakuwa ni paka alikua chini ya meza...hahahahh lol

mi naona tumuweke houseboy huyu akiondoka au vipi??? hahah lol

Sasa mpenzi............... ukishampata utanambia anavaa kiatu namaba ngapi ......... sawa?
 
im in love with ........................... just for today

Basi mie mkadhani siku zote .............hahah kumbe leo tu asente .............:A S-rose:
 
.
Sheria ya kwanza ni unyanyasaji na sikubaliani na wewe.
ya pili io poa, lakini kwa wanaume wasiojiheshimu.
 
Teh teh, mitego mingine haifai, utafikiri off side trick bwana, refa na mshika kibendera wanaweza kuminya, jamaa akapiga bao mnabaki kulaumiana
Hii hapa kipyenga lazima kitapulizwa Materese, na kadi nyekundu juu.
 
Wasilete kabisa, waishi wenyewe inatosha.
 
Sasa mpenzi............... ukishampata utanambia anavaa kiatu namaba ngapi ......... sawa?

mmmmhhh baba watoto mie huko siingili kabisa................
mambo ya viatu ahhhh bado sijachoka chako...
 
im in love with ........................... just for today

Basi mie mkadhani siku zote .............hahah kumbe leo tu asente .............:A S-rose:

ahhhhh usijali kabisa ni leo tu..
nilikuwa na fantasize kuhusu mtu hapa JF ...........
nikaona si vibaya kukujulisha ......lol
hahahhaah lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…