Nahisi haya ni matende, lakini hospitali wamesema sio

lakini hofu yangu mkuu ni kwamba kuna mtu alisema hawa microfilareae (sina hakika kama nimepatia), alisema kama wakiwa adult kuna uwezekano wasionekane kwenye microscope, ndo napata hofu sasa..
Wewe kama umemaliza vipimo vya Hospitali na havionyeshi kuwa una maradhi jitibie kwa tiba za mbadala utapona usihangaike sana.
 
Nenda hospital tofautitofauti hata tatu au nne kujiridhisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…