Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Wewe kama umemaliza vipimo vya Hospitali na havionyeshi kuwa una maradhi jitibie kwa tiba za mbadala utapona usihangaike sana.lakini hofu yangu mkuu ni kwamba kuna mtu alisema hawa microfilareae (sina hakika kama nimepatia), alisema kama wakiwa adult kuna uwezekano wasionekane kwenye microscope, ndo napata hofu sasa..