Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
SIMBA imeamua kukata mzizi wa fitna sasa, imeamua kusajili mshambuliaji wa mauaji kutoka nchini Senegal.
Huyo ni Papa Amadou Niang ambaye anatarajia kutua nchini leo Ijumaa akitokea Dakar, Senegal kwa Shirika la Ndege la Kenya kwa ajili ya kumalizana na Msimbazi.
Wakala wa mchezaji huyo kutoka nchini Cameroon, alitarajia kutua nchini jana ili kumalizana na uongozi wa Simba mara mchezaji huyo atakapotua.
[h=1]Taarifa za uhakika kutoka Dakar zinaeleza Simba imeomba ruhusa ya mchezaji huyo afanye mazoezi na wenzake kwa siku tatu, pia imepewa nafasi imtumie katika mechi moja ili kujiridhisha kwa kuwa awali wakala wake huyo Mcameroon, alikataa asifanye majaribio.[/h]