Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Wakuu habari, namshukuru MUNGU kwakua nilikuwa naumwa hapa karibuni ila kidogo nimepata nafuu, japo bado naendeleza dozi, na pia baada ya kuisha , nitaenda kufanya vipimo zaidi kuhakiki 🙏🏿.
Niende moja kwa moja kwenye pointi, wakuu kuna ishu naona kama ni alarm iv ama sijui ni wenge, kuna day nilikuwa na pisi yangu tuko sehem tunapata msosi na maongezi ya hapa na pale na pisi yenyewe from chuo.
Ila nikawa nashangaa wakati tunapata vituz , simu yake kaiweka kwenye mapaja yake , mimi yangu juu ya meza, alafu sasa muda wote kuchati chati sana mpaka nikawa namshangaa, yaani mkono mmoja kinywaji, mkono mwingne simu kaiweka kwa chini.
Basi sikumuuliza lolote mpaka tunaondoka, ila nilikuwa tiari nimeanza kutilia mashaka.
Sasa tena kuna siku nilipanga tuonane nae sehem ileile maana ni karibu tu, akaniambia no tusiende kukaa pale tutafute eneo tofaut kabsaa , mhmh mwenzenu kimoyo moyo nikaguna , nikasema poa.
Pia kuna siku tumetoka kupata msosi , nikawa nawahi sehem yeye ilikuwa nimuache sehem fulani, ila nashangaa anajichelewesha mimi nikasepa iv ila nikawa naangalia iv kwa jicho lq kuibia iv naona kama kuna jamaa alikuwa anamsalandia iv , baadae kuja kumuuliza ni kama ananipa majibu ambayo hayaingii akilini.
Last kuna siku night saa saba nimechelewa kulala ndio najiandaa, naona txt yake, nikawaza mbona hatuna mazoea ya kufika muda huo kuchat, na sms yenyewe ni kama sio yangu, nikahisi hapa ni ya jamaa mwingine, kesho yake mchana , namuuliza ananikwepa flani ivi. Kuna mengi hivi sana hayo ni baadhi tu.
Kwenu wabunge waheshimiwa wa jamhuri ya muungano wa jamii forums nawasilisha 🙏