Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Huu ni mzaha tu kama mizaha mingine
Na wewe anzisha timu yako uendeshe kwa tozo.Tumeona usajili ambao Timu Hii imefanya, na sote tunajua gharama za kulipa mishahara wachezaji kaliba ya akina Kagere, Wawa, na mastaa wengine!
Basi Jana usiku nikawaza kuwa Hii Timu ya Singida Big stars ni Sisi ndio tunaitunza kupitia hizi tozo..
Kwa wale mliosoma Cuba mmeelewa
N.b tukoment haraka haraka kabla Uzi haujafutwa
Ndio Hivyo Singida Big stars,na DTB?
subiri atolewe kwenye hiko cheo utaona kama wachezaji hawatakimbia njaa ilishawahi tokea kabla akiwa nje ya system team inasambaratika
ilikuwa inamilikiwa na hiyo bank ya dtb?Ndio Hivyo Singida Big stars,
Iliuzwa! Ikabadilishwa jina
Hata penalty zenyewe za mchongo Ila timu kubwa zijiandae kisaikolojia maana angekuwa Simba au yanga ndo kapigwa Lile goli kwa jinsi ninavyoifahamu mbeya City either zingeopigwa au kuambulia sare Ila Sasa wao wamepata ushindi mkienda either Simba or yanga msiende Na matokeo yenu mfukoniTumeona usajili ambao Timu Hii imefanya, na sote tunajua gharama za kulipa mishahara wachezaji kaliba ya akina Kagere, Wawa, na mastaa wengine!
Basi Jana usiku nikawaza kuwa Hii Timu ya Singida Big stars ni Sisi ndio tunaitunza kupitia hizi tozo..
Kwa wale mliosoma Cuba mmeelewa
N.b tukoment haraka haraka kabla Uzi haujafutwa
Wazamini kama kina nani vile embu wataje tuwapige mizinga