Nahisi hiki ndicho kitanikwamisha kwenda chuo hata nikipata mkopo...!!

Nahisi hiki ndicho kitanikwamisha kwenda chuo hata nikipata mkopo...!!

Habari zenu wana jf
mimi nimechaguliwa jordan university college (Baed) morogoro
ada ni kama ifuatavyo
Academic fees 1,000,000
exams fees 200,000
Admistrative fess 350,000
Accomodation fess 350,000
total 1,900,000 per year
hali ikoje vyuoni kwenu sababu nahisi gharama ni kubwa sana pia naomba ushauri wenu.!
nawasilisha
Uliandika maombi ya admission mwenyewe mbona hukuomba ushauri?????Continue as you have stated
 
Katika vyuo vya private ni vyuo vya st Augustine tu vyenye uafadhari wa ada

Acha kuongea makapi...Jordan University ni st Augustine hiyo hiyo tawi la Morogoro
 
Habari zenu wana jf
mimi nimechaguliwa jordan university college (Baed) morogoro
ada ni kama ifuatavyo
Academic fees 1,000,000
exams fees 200,000
Admistrative fess 350,000
Accomodation fess 350,000
total 1,900,000 per year
hali ikoje vyuoni kwenu sababu nahisi gharama ni kubwa sana pia naomba ushauri wenu.!
nawasilisha

Mkuu una Mazali mabaya sana....vipi Uume ulishanyooka? au ulikata na shoka kama nilivyokushauri?
 
hyo direct cost ndio nn?

Ni pesa ambayo haihusiani na bodi ya mikopo, unatakiwa kuilipa at the time unafika! inatofautiana baina ya vyuo....hyo pesa ina-include.....Afya, kitambulisho, DARUSO, na vitu vingine.......
 
Ni pesa ambayo haihusiani na bodi ya mikopo, unatakiwa kuilipa at the time unafika! inatofautiana baina ya vyuo....hyo pesa ina-include.....Afya, kitambulisho, DARUSO, na vitu vingine.......

je acdm fss, admtr fss na exm fss na accmdt n shngap?
 
Duh! Bongo hadi raha, kumbe siku hizi kuna vyuo vikuu vya kutosha. Hiki nacho kimeanza mwaka gani?

NB: Mkuu usiogope gharama, kama kuna uwezekano wa kuipata hiyo hela hata kwa kukopa nakushauri kasome tu.Elimu ni gharama sana tena hata kwa nchi zilizoendelea nako ndiyo hakusemeki kabisa.
 
Cheki na hii ya kwangu mimi
ARDHI UNIVERSITY
fees+direct cost=1,400,000
indirect cost=617,000
Total=2,017,000
hapo bado pesa ya special fucult kwa sis wa school of construction!
Source;ARDHI(UCLAS)-PROSPECTUS
ushauri;ndugu@Mambaenock cha msingi ni kuomba angalau hata kaela ka HESLB kapatikane hayo mengine GOD atajaaaliaa! Overrrr
 
Back
Top Bottom