Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Pamoja na mabadiliko ya life style kubadilika kutokana na vimbwanga vya huyu mwanamke vidogo vidogo lakin kuna kitu kipo tofauti.
Tangu nimemuoa naona Kanyota kana ng’aa aisee Riziki inaonekana.Vimichongo vimeongezeka had nashangaa!!
Nahisi huyu mwanamke amekuja na nyooota..
Kipindi naoa Sikua na kazi sijaajiriwa lakini nikasema naoa ivo ivo.Maana hata nikiwa na kazi tofauti hata siioni.
Watu walishangaa sana.Lakini naona tangu nimuweke ndani pilika pilika za michongo hazibanduki na wanaonipa michongo hata sikuwategemea