Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Mtunze nawe utazidi kung'aaPamoja na mabadiliko ya life style kubadilika kutokana na vimbwanga vya huyu mwanamke vidogo vidogo lakin kuna kitu kipo tofauti.
Tangu nimemuoa naona Kanyota kana ng’aa aisee Riziki inaonekana.Vimichongo vimeongezeka had nashangaa!!
Nahisi huyu mwanamke amekuja na nyooota..
yaan si habaMtunze nawe utazidi kung'aa
vp wale wanaokosa kabisa na wapo na wake piaKikawaida mfumo wa maisha upo connected with universe
Unapokuwa Giver lazima Baadhi ya mambo yabadilike.
Sasa ukiweka dhamiri ya kusaidia in positive way mambo hubadilika .
Nikwambie hakuna MTU analeta kitu isipokuwa hicho kitu kipo ndani yako .
vp wale wanaokosa kabisa na wapo na wake pia
...vimbwanga vidogo vidogo vya huyu mwanamke..., riziki inaonekana tangu nimemwoa..., hadi nashangaa...Pamoja na mabadiliko ya life style kubadilika kutokana na vimbwanga vya huyu mwanamke vidogo vidogo lakin kuna kitu kipo tofauti.
Tangu nimemuoa naona Kanyota kana ng’aa aisee Riziki inaonekana.Vimichongo vimeongezeka had nashangaa!!
Nahisi huyu mwanamke amekuja na nyooota..
Kipindi naoa Sikua na kazi sijaajiriwa lakini nikasema naoa ivo ivo.Maana hata nikiwa na kazi tofauti hata siioni.
Watu walishangaa sana.Lakini naona tangu nimuweke ndani pilika pilika za michongo hazibanduki na wanaonipa michongo hata sikuwategemea
Ebu nieleze mkuu...vimbwanga vidogo vidogo vya huyu mwanamke..., riziki inaonekana tangu nimemwoa..., hadi nashangaa...
Yapo mambo mawili hapo:
1. Kuna vimbwanga vya mkeo
2. Riziki imeongezeka tangu umuoe
Ni shauri yako mwenyewe lakini basi mimi nasema kutoka rohoni waweza kutupilia mbali haya. Kuwa makini na mkeo... ndio yeye ni chanzo cha riziki kuongezeka lakini unajua kwa vipi? Ni jambo gumu lakini tafuta ni kwa vp.
vp wale wanaokosa kabisa na wapo na wake piammh
Riziki imeongezeka kivipi kutoka kwa mkeo? Je ni mfanyabiashara mahiri? Au ni mwajiriwa? Labda ana mawazo mazuri ya utafitaji? Kama hana hayo mambo na riziki imeongezeka je ni kwa njia gani? Chunguza nguvu zake. Hakuna jambo linakotokea bila sababu.Ebu nieleze mkuu
Nyota..yaani ule utukufu wa Mungu utokao juu...riziki.Riziki imeongezeka kivipi kutoka kwa mkeo? Je ni mfanyabiashara mahiri? Au ni mwajiriwa? Labda ana mawazo mazuri ya utafitaji? Kama hana hayo mambo na riziki imeongezeka je ni kwa njia gani? Chunguza nguvu zake. Hakuna jambo linakotokea bila sababu.
Tangu niwe naye napata michongo mingiRiziki imeongezeka kivipi kutoka kwa mkeo? Je ni mfanyabiashara mahiri? Au ni mwajiriwa? Labda ana mawazo mazuri ya utafitaji? Kama hana hayo mambo na riziki imeongezeka je ni kwa njia gani? Chunguza nguvu zake. Hakuna jambo linakotokea bila sababu.
Mchunguze mkeo kwa jicho la tatu.Tangu niwe naye napata michongo mingi
Inapendeza sana