Nahisi kaka yake ndiye mpenzi wa demu wangu

Nahisi kaka yake ndiye mpenzi wa demu wangu

Mkuu picha yao ya moja kwa moja ni ngumu

Wewe zingatia hii picha ya maandishi

Demu wangu anafanana na huyo mwanaume kiasi cha hauwezi kukataa, ila mtoto kafanana sana na demu wangu na pia kafanana na huyu mwanaume pia

Shida ni kwamba ka kweli ni kaka yake kwanini waigize mapenzi na waigize ni mke na mume. Nitajuaje kama waigiza au ni kweli na kwanini ni mkataze demu wangu kuwa sitaki huu mchezo ila bado anarudia hataki kuacha?
Kuna jamii binamu analiwa, pengine huo udugu wao hauna mashiko.
Pia kuna jamii watu wake hufananafanana pengine hawana udugu wowote basi tu wamefanana na kupendana.

Ila niseme tu mtoto ni huyo Bro kweli si rahisi mwanamke kumkana mtoto wake tena wa ujanani ikiwa anaiva vuzuri na mzazi mwenzie hata kwako asingefika.
 
Yah! Nmeshamshauri tayar kua uyo mwamba alopostiwa aonane nae,

Maana mtu anaejijua anakula MKE wa mtu ata umuwekee Nini ili akaonane na mwenye mke, hawezi kuja kujipeleka machinjioni.

Na asipokuja, ajue Ni kweli Ni bwana ake
Kijana anapitia kipindi kigumu. Ngoja tusubiri mrejesho wakati jamaa anachanganya na zake.
 
Atakuwa binamu yake huyo. Ndo maana unaona mfanano, by the way binamu nyama ya hamu kwa kabila zingine.
 
Yanatombana hayo siku hizi maadili hamna wazazi wengi wa kiume wanakula watoto waliowazaa nje KIMBIA mapema dogo yaani penzini muwe wawili kupostiwa na vi imoji vya mapenzi awekewe kaka yake HUSTUKI TU
 
Back
Top Bottom