Nahisi kama nimefikia hatua ya Kukata Tamaa kiwango cha Mwisho. Naomba msaada wenu Ndugu zanguni

Status
Not open for further replies.
Nimesikitika sana. Pole sana Mkuu kwa changamoto unazopitia. Ule msemo wa kosa hela uijue tabia ya Mkeo ni HALISI.

Pole sana Mkuu. Mungu wa Mbinguni atakuvusha katika hili pia.
 
Afadhali umeliona nililoliona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdogo wangu mmoja aliniuliza hivi "Kaka siku hizi kazi hakuna na ukifungua biashara zinakufa, sasa nifanyaje?"
Shida ya huyu jamaa itakua ataki kuanza upya ,na biashara sio zile za kuuza tu ,pia Kuna ufugaji ,wa nguruwe unapata faida kubwa kwa mala moja pia unaweza Lima zao la bamia na nyanya chungu siku 60 unaanza kula faida ,pia Kuna biashara ya mazao yenyewe kufilisika Ni uzembe wko tu
 
Mimi kwanza nikupe pole halafu nikulaumu kwa kuwa na mawazo mgando na ya kijinga kama hao humu jf huwa mnatiuita ma layman sisi tusioenda shule lakini akili ya mtaa ipo full hiyo kw mfano una gari ukiuza hata 2mil tu ukanunua lone zako tatu za tigo voda na aetel ukatega sehemu yenye watu wengi kwa kibinda cha mpesa wallai kwa maisha ya dar es salamm hukosi hela ya kula wala kodi ya chumba kimoja cha tsh 40 hapo bunju tatizo akili yako imeganda status ile ile ambao leo haipo tena .njoo vijijini mjofunze kwa walimu unakuta mwl ana ajira analima ,anafuga , anafanya biashara ndogondogo na mambo yanaenda safiii kabisa mwisho.HUNA MKE WEWE UNA COVID 19.usiku mwemA.
 
Yaan naweza nisiwe sad kwa changamoto unazopitia ila MKE WAKO MPENDWA hapana mkuu. Amenisikitisha sana.
Kwani pale madhabahuni tunavyoapa kwenye shida na raha ninorally tu hakuna practical ama. Sasa nini maana ama faida ya ndoa? Huyu mkeo unamjua vyema kweli? Ila vielements vya ubinafsi huwa vinaonekanaga hata kipindi cha mahusiano. Tabia mbaya sana hii. Na pia huyu mke wako hakua na mawazo zaidi kiasi cha kuona kumiliki magari matatu ni sawa. Katika maisha yangu simpendi mtu mbinafsi mimi. Jaman tujitahidi tuwalee watoto wetu wawe kwenye njia sahihi. Mungu ni mwema sana.
Zaidi nameomba Mungu nisije kuwa mke mwenye ubinafsi. Anifanye nikawe kimbilio kwa wahitaji. Mwenyezi Mungu ni mwema. Nitakucheck pm mkuu
 
Jiajili ajira ya chini kabisa ambazo wengine wanaishi, kwa sababu miguu ni mibovu.Fanya biashara ndogo ya hata ya mtaji wa 20000 usifikirie mtaji wa mamilioni.Dar ni kubwa na ina mambo mengi,usione aibu mkuuHakuna wa kukupa hela mjini uza hata maji, choma mahindi,mishikaki.Piga hata boda boda.Umerudi chini kubali ya chini kama mdau alivyoshauri hapo juu.Sisi tuliotoka mikoani huwa hatuchagui kazi.Kumbuka kuna ambao hawajawahi hata kuajiliwa na wanavyeti vizuri, wewe una mtaji wa watu hivyo hao ndio wateja wako wa kwanza usiwakwepe watumie.Life is circle what's goes around come around.Usirudie kosa la kukusanya magari kusanya assets mfano machine za kusaga, machine za kutengeneza bites nk, magari sio ishu Mara nyingi ukipata tatizo watu watakulalia hakuna fair ktk kuliuza.
 
Aisee, I am not a very emotional person, ila huu Uzi wako umenitoa machozi.
Pole sana kaka. Nakucheki PM
 
so bad
 
Pole sanaa mkuu , lkn pole pia kwa kutegemea kazi tu,

Pata pesa tujue tabia yako

Filisika tujue tabia ya mkeo.

Naamini upo ktk mapito, kikombe hicho unachokunywa sasa kina maumivu makali sana pole kaka.

Ukiwa shule mwalimu hukaa mbele wanafunzi hukaa nyuma wakimwangalia mwalim wao,

Ktk maisha halisi mwakimu hukaa nyuma ukikosea yeye ni adhabu tu, mm nipo ktk mapito kama yako naamini mwisho unakaribia na milango itafunguka maaana nimecmama kwa miaka mingi sana ,pole kwa mapito

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…