Kwanza uyo mke hakuwahi kua na upendo wa dhati kwako hata siku moja ...
kama wewe ni christian nitafute nikuelekeze sehem ambayo utaombewa huo mguu na ukapona kabisa huo ndio msaada wangu ....na nna uhakika na kupona kwako...wala haiitaji pesa ni bure yaan ni wewe na muda wako tu na trust me utapona kabisa.....sababu hata mama mkwe wangu alikua na tatizo kama lako alikua hawezi hata kuchuchumaa alishatumia dawa nyingi bila mafanikio lakin saiv mzima kabisa...miaka 30+ ni mdogo sana bado unahitajika kulijenga taifa hili....
Sent using
Jamii Forums mobile app