kwa sasa nikushauri kdg,
kiuchumi sipo sawa kbs ingaw npo kazin
lkn ni kama sina kazi,
ila nimshukur Mungu kwa uzima na kuw na mke atleast supportive.
nimeona upo less care ktk kufatlia kw ukarib mambo ya familia yako,
mfno ulipompa mkeo 6M,
ulipaswa kufaham anaenda kuifanyia biashra gani na pia uweze kumgaid hat kimawazo,
hiyo ingesaidia hata kuepusha kupigwa na Qnet,
ungeweza kutambua mapema ukaokoa,
mke ni wa kufatlia wkt wote kwa kumtia moyo,
kumrekebisha,
kumkaripia kwa ukali au wakt mwingine mbata za kutosha,
mengine kubali kushuk chini uanze upya,
biashar ni intelligent zaid sio nguvu,
uza gari utakuw unajikokota pmj na bodaboda...
baadae...