Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,558
Uza hilo gari uanzishe biashara...!
Ulichagua vema shukuru mungu alikuweka katika njia sahihi. Mie pia nashukuru sana mungu kwa mtu nilie nae ingawa hayupo perfect ila amekuwa chachu kubwa ya maendeleo yangu and still loyal.
Changamoto ninayopitia haina tofauti sana na ya mwamba hapo sema tu i have the right patner in life. Still maisha yanaenda kibishi blame is to COVID-19 but we still alive. Ngoja tuufunge mwaka with new plans for the coming year.
Otherwise, ningewekeza kwa hawa akina cutilicous sijui prettylicious ningekuwa na misiba miwili sahizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Amina na Mungu akakufanye kuwa hivyoYaan naweza nisiwe sad kwa changamoto unazopitia ila MKE WAKO MPENDWA hapana mkuu. Amenisikitisha sana.
Kwani pale madhabahuni tunavyoapa kwenye shida na raha ninorally tu hakuna practical ama. Sasa nini maana ama faida ya ndoa? Huyu mkeo unamjua vyema kweli? Ila vielements vya ubinafsi huwa vinaonekanaga hata kipindi cha mahusiano. Tabia mbaya sana hii. Na pia huyu mke wako hakua na mawazo zaidi kiasi cha kuona kumiliki magari matatu ni sawa. Katika maisha yangu simpendi mtu mbinafsi mimi. Jaman tujitahidi tuwalee watoto wetu wawe kwenye njia sahihi. Mungu ni mwema sana.
Zaidi nameomba Mungu nisije kuwa mke mwenye ubinafsi. Anifanye nikawe kimbilio kwa wahitaji. Mwenyezi Mungu ni mwema. Nitakucheck pm mkuu
hongereni sana sana..Ulichagua vema shukuru mungu alikuweka katika njia sahihi. Mie pia nashukuru sana mungu kwa mtu nilie nae ingawa hayupo perfect ila amekuwa chachu kubwa ya maendeleo yangu and still loyal.
Changamoto ninayopitia haina tofauti sana na ya mwamba hapo sema tu i have the right patner in life. Still maisha yanaenda kibishi blame is to COVID-19 but we still alive. Ngoja tuufunge mwaka with new plans for the coming year.
Otherwise, ningewekeza kwa hawa akina cutilicous sijui prettylicious ningekuwa na misiba miwili sahizi 😂😂😂
Pole sana mkuuhongereni sana sana..
nakumbuka nilisimama na Mtu kipindi cha maanguko yake Ila yalivyofika yangu!
nimebakia na malaika wangu.
Pole sana mk
kawaidaPole sana mkuu
Mungu azidi kuipa uhai jf. HALLELUYAHJF the home of great thinker's, pole sana kwa changamoto mkuu ila naamini kupitia jukwaa utapata msaada kwani hata mimi mwezi wa 10 nlikuwa nimefikia hatua ya mwsho kabsa
Ila baada ya kuja hapa JF kueleza changamoto zangu kuna ndgu 1 alisave sana sana, haikuwa connection ya kazi ila alinipa pesa ndefu sana kwa maisha yangu, cha ajabu hata simjui na yeye hanijui ila mpka leo nimekuwa nikiwasiliana nae sana.
Hili jukwaa ni la manufaa sana, Usikubali kuchukua maamuzi magumu pasipo kushitaki JF
Hii comments inatosha kufunga uzi.Pole mkuu
Changamoto Katika maisha ni kawaida na ipo siku zitaisha.
Bado unayo nafasi,haijalishi umeanguka na kufeli Mara ngapi amini unayo nafasi ya kufanikiwa tena.
MUNGU anakupenda na Ndiyo maana amekupa nafasi ujaribu.
Kujiua siyo jibu la matatizo yako,
Kukata tamaa hakuwezi badili chochote kwako.
Amini Mungu ni mwaminifu Katika nyakati zote,amini atadhihirisha uaminifu wake kwako.
Usichoke kupambana,jipe moyo mkuu
Utashinda.
Mshukuru Mungu kwa yote,kuna watu wanatamani hata wangeipata hiyo afya..wapo vitandani hawawezi kunyanyuka.
Lakini wewe MUNGU amekupa hicho kibali.
Nakutamkia ushindi,
Sina hela wala ajira ya kukupa ila amini haya maombi ninayokuombea Mungu atakuvusha..Amin.
Duh inaumiza sana yani ila it comes with lessons. Kuna watu tuko nao katika maisha ila kimsingi sio wa kuwategemea when things go upside down. Huwa najitahidi kuepuka watu wa aina hio mno.hongereni sana sana..
nakumbuka nilisimama na Mtu kipindi cha maanguko yake Ila yalivyofika yangu!
nimebakia na malaika wangu.
True tunajifunza kupitia makosa.Duh inaumiza sana yani ila it comes with lessons. Kuna watu tuko nao katika maisha ila kimsingi sio wa kuwategemea when things go upside down. Huwa najitahidi kuepuka watu wa aina hio mno.
Heee kwahio unahisi jamaa hakuwa responsible kwa mkewe,,, why do you think of this one? Mbona wanawake tunawaona wengi tu wanapewa kila kitu shopping, masimu outing za gharama ila siku baba ukurugenzi umeisha mambo yanavurugika mke haamini kama maisha ya kutanua yamefika ukomo.Kuna wakati unaweza ukamlilia Mungu sababu ya shida zako ila ukisikia ya wengine utajiona unakufuru[emoji2297][emoji2297]
Pole sana mkuu, Mungu akupitishe katika hilo.
Jamani muwe wema na muwatende mema wake zenu mnapokuwa katika nyakati nzuri ili wasiwatenge katika nyakati mbaya pia.
Sent using Jamii Forums mobile app