Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
pouwaNimeku miss kinoma ujue;;
Sikuhizi unapita juu kwa juu tu ndo hutaki kushuka kabisa
Sema nini kesho I will call you tuongee
pouwaNimeku miss kinoma ujue;;
Sikuhizi unapita juu kwa juu tu ndo hutaki kushuka kabisa
Sema nini kesho I will call you tuongee
ndugu yangu kuna wanaume wa ajabu sana duniani unakuta ana familia inakaa chumba na sebule Ila mwenyewe ana drive crown hili tu aonekane na walimwengu.Kweli Kabisa, hata mimi hapo kanishangaza sana, magari yote hayo kwenye nyumba ya kupanga ya nini?
Nimeshangaa Sana kuna nonsense nyingi kwenye andiko.Sijui hata hizo pole mnampa za nini mtu kama huyu...kichwani box kabisa hamna kitu
Mkuu bila shaka ushakunywa serengeti asubuhi yote hii.Sijui hata hizo pole mnampa za nini mtu kama huyu...kichwani box kabisa hamna kitu
Kabisaa kitendo cha kusema alikua anamiliki gari tatu mbili kubwaa halafu hana kitega uchumi chochote cha kumwingizia hata elfu 10 kwa siku itoshe kusemaa huyu mwamba kichwani hayupo vizurii...Nimeshangaa Sana kuna nonsense nyingi kwenye andiko.
Kungekuwa nauwezo wakubadilishana viatu ningempa vyangu anipe vyake ningehitaji nini tena kwa Mungu.
Sijanywa kitu naongea tu ukweli naweka unafiki wakitanzania pembeni....msipo mwambia ukweli bado hata akipata atafeli tenaMkuu bila shaka ushakunywa serengeti asubuhi yote hii.
ndugu yangu kuna wanaume wa ajabu sana duniani unakuta ana familia inakaa chumba na sebule Ila mwenyewe ana drive crown hili tu aonekane na walimwengu.
Kabisaa kitendo cha kusema alikua anamiliki gari tatu mbili kubwaa halafu hana kitega uchumi chochote cha kumwingizia hata elfu 10 kwa siku itoshe kusemaa huyu mwamba kichwani hayupo vizurii...
Sijanywa kitu naongea tu ukweli naweka unafiki wakitanzania pembeni....msipo mwambia ukweli bado hata akipata atafeli tena
Mbaya zaidi still ana Hold akili mgando mpaka sasa ana gari nk analia sasa gari si sawa na Tigopesa hiyo yenye uwezo wa kukupa hata 800K kwa mwezi kipindi unachonga mipango yako.Kabisaa kitendo cha kusema alikua anamiliki gari tatu mbili kubwaa halafu hana kitega uchumi chochote cha kumwingizia hata elfu 10 kwa siku itoshe kusemaa huyu mwamba kichwani hayupo vizurii...
Naunga mkono hii hoja.Kama huna uzoefu wa biashara sikushauri kuuza nyumba. Hiyo iache. Tena iache kabisa hata usichukulie mkopo.IACHE KAMA ILIVYO.NARUDIA NYUMBA HIYO IACHE USIUZE USICHUKULIE MKOPO.
Ni funzo haswaaDaah maisha haya
Ulichagua vema shukuru mungu alikuweka katika njia sahihi. Mie pia nashukuru sana mungu kwa mtu nilie nae ingawa hayupo perfect ila amekuwa chachu kubwa ya maendeleo yangu and still loyal.To be honest, namshukuru sana Mungu kwa aina ya mke alie nipea.
Najua hajakamilika, lakini hakika ni wakipekee sana nikilinganisha na changamoto ambazo wengi wanapitia na wake zao.
Anyway, pole sana mkuu na hakika ningekua na connection ningekuunganisha kwa bidii zangu zote.
Ebu naomba namba zako PM
Mwache aendelee kuning'iniza funguo kwenye mbupu...asichojua wapo watu wanaendesha familia zao kwa shughuli za kawaida kabisa ambazo hata mtaji haufiki milion 2,No huyu jamaa ni mtu smart isipokuwa kinachowaponza vijana ni maisha ya mkumbo na kuiga watu bila kulinganisha mazingira halisi ya mtu alikotoka.
Hii huwa inawakumba wengi sana.