Nahisi kilimo cha kitunguu "kitanitoa"

Nahisi kilimo cha kitunguu "kitanitoa"

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Nimeshuhudia wakulima wengi Morogoro wame elekeza nguvu kilimo cha vitunguu. Baada ya dadisi dadisi baadhi ya wakulima wamekiri kilimo cha kitunguu kinalipa(eka inazalisha hadi kilo 5000 kitunguu). Naomba msaada kilimo cha kitunguu kwa wenye uzoefu wa kilimo hiki.
-jinsi kupanda vitunguu
-gharama za uzalishiji eka moja
-msimu/muda wa kupanda
-soko la vitunguu na bei ya sokoni.
Ahsante.
 
Back
Top Bottom