sam green
Senior Member
- Feb 21, 2020
- 193
- 300
Habari Ma doctor Wa JF
Stori ni ndefu nifupishe kiasi
Nimekutana na mweza wangu, siku 5 nyuma, nilivyo maliza siku inayo fata niliamka, nahis muwasho kwenye kichwa cha uume, nikajiosha tu siku inayofata ikajirudia nikaenda faragha kujitazama kwa uamkin nikakuta kichwa cha uume kimezungukwa na vipele vidogo vidogo vingi na vitu vyeupe vyeupe pembeni yake vina kaharufu flan kwa mbal,
Nikamtafta mwenza wangu nikamueleza hali iliopo akawa mkali kuwa kwahiyo unahisi mimi ndiyo nimekuambukiza ugonjwa huo mbona mimi sina,
Naomba kujua ni ugonjwa gan? Huo pia yeye alichepuka, akpata akanipa au?
NB huyo mpenzi wangu tokea akiwa, binti, hatujawah tumia kinga, na sex ni 5/7 per day....