Nahisi kufa kufa na tcu

ranicta nicta

Member
Joined
May 24, 2013
Posts
60
Reaction score
20
Hapa nilipo sijielewi elewi hatima yangu kwenda chuo kutokana na ucheleweshaji wa majibu tuliomba kuhama chuo kwani sijui mambo yakoje tcu na chuo nilichohama kinakaribia kumaliza mwezi tangu kifungue nimeomba kuhamia Udom atakaeona majina ya Udom yametolewa anijulishe jamani naishi kwa matumaini kila ichapo leo
 
ndugu majina YAMETUMWA VVUONI.WAPIGIE SIMU WATAKUAMBIA KAMA UPO.MI MWENYEWE NIMEMWANGALIZIA RAFK ANGU.KWA KUPIGA SIMU
 
Mkuu mi mwenyewe ninataka kuhamia TEKU lakin naona TCU wanazingua sana.
 
Hizi habari tumezichoka humu. Kaandikeni huu upuuzi wenu kwenye website ya TCU au hamna access ya kuandika huu uzombi kule?!
 
Hizi habari tumezichoka humu. Kaandikeni huu upuuzi wenu kwenye website ya TCU au hamna access ya kuandika huu uzombi kule?!
huu uzi kama haukuhuso si lazima uchangie hujui ni jinsi kani tunavyoumia moyoni jiheshim
 
huu uzi kama haukuhuso si lazima uchangie hujui ni jinsi kani tunavyoumia moyoni jiheshim

website ya TCU ina contact zote, Afterall kuna zaidi ya thredi 1000 za aina hii, kwanini hukuunganisha huko?
 
M mwenyewe nimeombea kuhamia st Joseph-Songea..hadi leo sielewi hatma yangu
 
ndugu majina YAMETUMWA VVUONI.WAPIGIE SIMU WATAKUAMBIA KAMA UPO.MI MWENYEWE NIMEMWANGALIZIA RAFK ANGU.KWA KUPIGA SIMU

Samahan mkubwa,namba zao tunazipataje..mi nimeomba transfer ya st Joseph-Songea,kama unaweza nisaidie mawasiliano yao
 
Samahan mkubwa,namba zao tunazipataje..mi nimeomba transfer ya st Joseph-Songea,kama unaweza nisaidie mawasiliano yao

ingiza jina la chuo kwenye google tu kaka utapata no zao,
 
majina yamepelekwa vyuoni na bodi kufikia ijumaa yatakuwa hewani kwa mujibu wa ofisa wa Tcu na kama ikiwa bado kasema watu waende tcu ijumaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…