Folk Part II
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 419
- 490
- Thread starter
- #141
Ahsante mkuu ubarikiweMungu akusaidie upate matibabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu ubarikiweMungu akusaidie upate matibabu
Hospitali gani uliyokwenda kuna daktari wa hivi?Wanaamin sana hospital lakin wangejua madakitari wengi huko wana D2 ila wapo vitengo vya juu alaf wabishi hawana muda wa kushauriana na mgonjwa
Ahsante sana kwa kujali ndugu ubarikiwe ingawa nami huwa wanahusisha ayo madonda mkuuPole Sana mkuu, Mungu atakuponya tu,mi Kuna kipindi niliugua ugonjwa wa ajabu madonda ya tumbo so madonda kwa mda wa miaka 5 nilikonda Sana watu walidhani Nina ukimwi ndugu walinitenga , nilikonda Sana unaweza ukaamuka angalau umenenepa kidogo lakini baada ya dakika unakonda Kama mbu, nilikuwa nawaonea wivu wanene sikupata msaada wowote iwe kwa ndugu ama nani wote walininyanya paa,,kilichobaki nikawa naomba tu kufaa maanashasulubika vya kutosha chakushangaza Hali ile mpaka sasa imekata Niko vizuri tu nasizani Kama ,,, kwahiyo ndugu ni mitihani tu MUNGU atakuponya
Kimbasi mkuuHospitali gani uliyokwenda kuna daktari wa hivi?