Pole Sana mkuu, Mungu atakuponya tu,mi Kuna kipindi niliugua ugonjwa wa ajabu madonda ya tumbo so madonda kwa mda wa miaka 5 nilikonda Sana watu walidhani Nina ukimwi ndugu walinitenga , nilikonda Sana unaweza ukaamuka angalau umenenepa kidogo lakini baada ya dakika unakonda Kama mbu, nilikuwa nawaonea wivu wanene sikupata msaada wowote iwe kwa ndugu ama nani wote walininyanya paa,,kilichobaki nikawa naomba tu kufaa maanashasulubika vya kutosha chakushangaza Hali ile mpaka sasa imekata Niko vizuri tu nasizani Kama ,,, kwahiyo ndugu ni mitihani tu MUNGU atakuponya