Pole sana CastrUmewahi kuingizwa VICOBA na mama yako wa ukoo ukitarajia kupata Milioni 3 mwisho wa mwaka?
Halafu wiki mbili kabla unafuatwa kukumbushwa kulipa deni la sivyo pesa zako hutopata? Na hapo bado una negative?
Halafu siku ya siku, ofisi iliyokua inakufanya uweze kuchangia hapo VICOBA imekuja kubebwa yote kama ilivyo na mazaga mengine ya gheto ili kufidia mkopo (ambao hukuuchukua ila kwakua mama wa ukoo ndiye alikuintroduce so aliweza kuchukua akaaminiwa).
Nigga am broke as fvck right now. No direction nothing niko tu nabishana na watu JamiiForums nasubiria eviction notice.
Vumilia mkuu,hata mimi mwanzo nilikua kama wewe ila baadae nikatambua kuwa hakuna wa kunipa furaha zaidi yangu mimi mwenyewe. Jitazame wewe wa jana na leo,tambua kuwa hai tu ni jambo la kheri!,jikubali na amini katika kile unachokifanya.
Jitazame ulivyo,thamani yako ni kubwa. Kuna sababu ya wewe kuwa hai mpaka sasa,itafute sababu hiyo na ukiijua hutokosa amani tena.
Tafuta shughuli/kazi za kukufanya uwe bize muda mwingi. Hapa namaanisha kuwa ifanye akili yako iwaze kutimiza jambo/kazi fulani,hapa namaanisha hakikisha siku inazama huku ukiwa na mikakati ya kumalizia au kuanza kazi fulani siku inayofuata.
Kama ni kijana na unaishi kwa ndugu,jamaa,rafiki au wazazi hama hapo, kuna muda tunahitaji kuwa huru kiasi. Tafuta hata chumba,panga uishi mwenyewe,waza maisha yako mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
AsantePole sana Castr
Kama ni mambo ya awamu usijali hayatadumu kaza mzee mbele mwanga upo.awamu hii Kaka.
Mzee sisi ndio tuko gerezani, kumbuka waliopata msamaha siku moja tu huku walipashindwa wakataka kurudi gerezani kwa mbinu zotee.Sasa kama ww upo uraiani unasema maneno hayo vp aliekuwa gerezani kule?
Ww kaza tu muda tu, kuna watu utafikiri wenyewe ndo matatizo maana yamewafunika.
Mzee vipi tena ? Mbona kauzu kiasi hicho salama kweli ?Write your reply...we kufa tu kwanza unatujazia server
Duuuuh ??? Si mchezo kwan vipi robot la matope maana umekaza sanaaKama hauumwi, WE NI FALA
nimeshapita mkuuMleta uzi pita hapa.
bless dada