Nahisi kukata tamaa dunia haina usawa

Nahisi kukata tamaa dunia haina usawa

Umewahi kuingizwa VICOBA na mama yako wa ukoo ukitarajia kupata Milioni 3 mwisho wa mwaka?

Halafu wiki mbili kabla unafuatwa kukumbushwa kulipa deni la sivyo pesa zako hutopata? Na hapo bado una negative?

Halafu siku ya siku, ofisi iliyokua inakufanya uweze kuchangia hapo VICOBA imekuja kubebwa yote kama ilivyo na mazaga mengine ya gheto ili kufidia mkopo (ambao hukuuchukua ila kwakua mama wa ukoo ndiye alikuintroduce so aliweza kuchukua akaaminiwa).

Nigga am broke as fvck right now. No direction nothing niko tu nabishana na watu JamiiForums nasubiria eviction notice.
Pole sana Castr
 
Vumilia mkuu,hata mimi mwanzo nilikua kama wewe ila baadae nikatambua kuwa hakuna wa kunipa furaha zaidi yangu mimi mwenyewe. Jitazame wewe wa jana na leo,tambua kuwa hai tu ni jambo la kheri!,jikubali na amini katika kile unachokifanya.

Jitazame ulivyo,thamani yako ni kubwa. Kuna sababu ya wewe kuwa hai mpaka sasa,itafute sababu hiyo na ukiijua hutokosa amani tena.

Tafuta shughuli/kazi za kukufanya uwe bize muda mwingi. Hapa namaanisha kuwa ifanye akili yako iwaze kutimiza jambo/kazi fulani,hapa namaanisha hakikisha siku inazama huku ukiwa na mikakati ya kumalizia au kuanza kazi fulani siku inayofuata.

Kama ni kijana na unaishi kwa ndugu,jamaa,rafiki au wazazi hama hapo, kuna muda tunahitaji kuwa huru kiasi. Tafuta hata chumba,panga uishi mwenyewe,waza maisha yako mwenyewe.



Sent using Jamii Forums mobile app

Mleta uzi pita hapa.
 
Moyo unaficha mengi.kama unaweza Wewe tafuta sehemu ulieeee ukitoka hope akili itakaa sawa na endelea kupambana.
Unaweza kulilia chumbani mwako, au kama wewe rc tumetengewa sehemu nzuri za kumalizia ya moyoni, nenda muda ambako hakuna watu sema yote unavyojiskia. Usibiri majibu hata kwenye ndoto jibu utaletewa.

N.b usikubali binadamu aone chozi lako.

Usisahau kulia eeh! Wengi tunaishi hivyo na mambo yanakaa sawa
 
Back
Top Bottom