Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #41
asanteWrite your reply...we kufa tu kwanza unatujazia server
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asanteWrite your reply...we kufa tu kwanza unatujazia server
asante kweli Mimi ni fala ..Kama hauumwi, WE NI FALA
ubarikiwe mkuu.Moyo unaficha mengi.kama unaweza Wewe tafuta sehemu ulieeee ukitoka hope akili itakaa sawa na endelea kupambana.
Unaweza kulilia chumbani mwako, au kama wewe rc tumetengewa sehemu nzuri za kumalizia ya moyoni, nenda muda ambako hakuna watu sema yote unavyojiskia. Usibiri majibu hata kwenye ndoto jibu utaletewa.
N.b usikubali binadamu aone chozi lako.
Usisahau kulia eeh! Wengi tunaishi hivyo na mambo yanakaa sawa
mwisho wa siku acha tupambane mkuu 🙏🙏
Amen 🙏🙏
😂😂😂😂😂Mzee sisi ndio tuko gerezani, kumbuka waliopata msamaha siku moja tu huku walipashindwa wakataka kurudi gerezani kwa mbinu zotee.
Sent using Jamii Forums mobile app
asante Kaka mkubwaaaWw kaza tu muda tu, kuna watu utafikiri wenyewe ndo matatizo maana yamewafunika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa, usifikirie mabaya juu yko dunia bado ina mambo kibaaao mazuriasante Kaka mkubwaaa
Mwambie huyo jamaa akaone watu hospital wanavyoteseka na magonjwa ya ajabu but still wamo yeye na uzima wake anakataje tamaa?!?!Duuuuh ??? Si mchezo kwan vipi robot la matope maana umekaza sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa nitafikishaMwambie huyo jamaa akaone watu hospital wanavyoteseka na magonjwa ya ajabu but still wamo yeye na uzima wake anakataje tamaa?!?!
Kama umetambua tatizo pambana nalo sasa!!! Toa huo ufala then face challenges!! Hakuna maisha laini!! Hata Bakhresa mwenyewe ana shida!!!asante kweli Mimi ni fala ..