elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
- Thread starter

- #21

kesho nitakupm kwa ushauri zaidi. Nikisahau naomba unikumbushe.

It makes sense but utawachoka wangapi?

jaribu kuangalia nn chanzo ukigundua bac unawezatatua hilo tatizo unavyo sema utafute mtu ambaye huta mchoka angali usije kuruka mko*jo na kukanyaga m*vi

usione soo sema nae..................huh

nilijua wewe ni mkaka kwani ndio zenu hizo.nina amini huyo dada usiempenda atagutuka tu,kwani kama unavyosema,kujibu msg zake,unaona tabu.bora umwambie ataumia ila mwisho atazoea.tafuta njia nzuri na umuelezee sababu ambazo hazitomuumiza mwenzio.kuliko kumuonyesha vijidalili vya kuwa huna interest nae tena
Kumbuka kwamba muosha huoshwa

Usiseme kuwa sisi akina kaka ndo tuna tabia ta kuchoka mapenz. Kugundua ashagundua ila ndiyo hivyo anaumia lakini hana jinsi na mimi sina lengo la kumuumiza yani hata kuchat naye nkimjibu sms tatu nahisi kama nasumbuliwa yani I wish kama hali hii ingepotea coz haja ni do me wrong
niPM namba zake nikusadie kumwambiaNtajaribu may be inaweza saidia lakini siyo siri nahisi kumwaga manyanga
KumPM tena!!! ....... angalia asije akamchukia gafla huyo mpya aliyempata akaamishia majeshi kwako. achelewi.

kesho nitakupm kwa ushauri zaidi. Nikisahau naomba unikumbushe.
most of them ni waumizaji,ila sio wote.kama huyo hajakukosea kitu,mapenzi huna tena kwake.au ndio mambo ya distance relationship?

Usiseme kuwa sisi akina kaka ndo tuna tabia ta kuchoka mapenz. Kugundua ashagundua ila ndiyo hivyo anaumia lakini hana jinsi na mimi sina lengo la kumuumiza yani hata kuchat naye nkimjibu sms tatu nahisi kama nasumbuliwa yani I wish kama hali hii ingepotea coz haja ni do me wrong
Chwechwe huko sasa unataka kufika mbaliniPM namba zake nikusadie kumwambia

Ama kwa hakika mapenzi ni kama big G,, keshakwisha utam kwako ila jua kuna wanaomtaka na analinda utu wake na heshima yako kwa kuwakataa ni bora ukavunja ukimya na kumweleza ukweli kuliko kuendelea kumpotezea muda na hiyo nilijua 2 kuwa 7bu ni kumpata mwinginge. Huyo unaesema umezoeana nae na ni mtu wa mtu atakuzoea na yeye kumuumiza mtu wake kwa7bu yako, umbali unakutenganisha na mwenza wako, kama vp chagua 1, kumuweka mbali huyo wa mtu uliyemzoea na kurudisha mapenzi kwa wako au kumwambia ukweli wako ili ajijue nawe usepe japo utateseka sana kwa kumwacha believe me!

Don't take life so serious, it isn't permanent!

Nina mpenzi ambaye nimedumu naye kwa kipindi cha mwaka 1 na nusu hivi sasa. Lakini toka mwezi wa tatu nimetokea kupoteza ham ya mapenz juu yake. Yeye anaingia mwaka wa 3 sauti nami naingia mwaka wa 3 udom.

Najitahidi kutomwonesha lakini nashndwa. Tulikuwa tuna mazoea ya kuchat mda mwingi kila siku lakini hivi sasa akituma sms hata kumjibu naona tabu. Asipo nitafta ndo kabisa simtaft. Si kwamba nafanya makusudi lakini sina mapenz kabisa juu yake.

Nataman kumwambia ukweli lakini nahisi ntamuumiza sana kwa kuwa mpaka sasa anaumia kiasi kwamba kamwambia ndugu yangu na marafiki zangu naowafahamu kuwa anaumia kuona nimechange.

Kusema kweli yani akiniita honey au sweet au dear nahisi kukereka yani sitaki hata kusikia akiniita majina hayo.

Jamani naombeni ushauri wenu vipi nimwambie au nikae kimwa