sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
Amakweli mapenzi kizungu zungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />
<br />
Sina hakika nini chanzo lakini inawezekana kuna dada flan tumetokea kuwa marafiki toka mwez wa 2 na toka tumeanza urafik tumekuwa karibu sana na nimetokea kumpenda lakini ye anadai ana jamaa yake thou sikuwahi kumwona naye anadai jamaa yake hamjali inaweza pita week hajampgia hata simu lakini ye anampenda sana. Si kwamba natoka na huyo dada lakini nina hisia za mapenzi juu yake toka nimfaham na kila siku ukaribu unazidi na ye ndiye kampani yangu. Labda ndo tatzo
Nikijaribu kuunganisha the red dots, basi kama anapita hapa message atakuwa ameipata...! So, message send already...!Nina mpenzi ambaye nimedumu naye kwa kipindi cha mwaka 1 na nusu hivi sasa. Lakini toka mwezi wa tatu nimetokea kupoteza ham ya mapenz juu yake. Yeye anaingia mwaka wa 3 sauti nami naingia mwaka wa 3 udom.
Najitahidi kutomwonesha lakini nashndwa. Tulikuwa tuna mazoea ya kuchat mda mwingi kila siku lakini hivi sasa akituma sms hata kumjibu naona tabu. Asipo nitafta ndo kabisa simtaft. Si kwamba nafanya makusudi lakini sina mapenz kabisa juu yake.
Nataman kumwambia ukweli lakini nahisi ntamuumiza sana kwa kuwa mpaka sasa anaumia kiasi kwamba kamwambia ndugu yangu na marafiki zangu naowafahamu kuwa anaumia kuona nimechange.
Kusema kweli yani akiniita honey au sweet au dear nahisi kukereka yani sitaki hata kusikia akiniita majina hayo.
Jamani naombeni ushauri wenu vipi nimwambie au nikae kimwa
nitampa live i think this will helpHapo zamani za kale kulikuwa kuna kitu kinaitwa barua..
Na sasa hivi kuna kitu kinaitwa Email..
Njia rahisi ku achana na mtu ni kumwandikia
Ukimwambia ana kwa ana waweza ulishwe kibao..
Ukimpigia kwenye simu mtajibizana mpaka kesho au ye ataongea kuliko wewe.. na ujumbe
Usifike vema..
Hey hivi ndivyo unavyojisikia basi kuwa mwazi
na mwenzio, itakupunguzia mawazo na ye apate muda wa kumtafuta wa kumliwaza.
Kuwa mkweli na nafsi yako..
Tchaooooo
nitampa live i think this will help